Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 23, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Baada ya rostam kusalitiwa na JK, jamaa alimwaga mpunga kidogo kuhusiana na ushirika wake na Ridhiwani Kikwete katika mambo ya kibiashara hadi JK alipomuomba msamaha ambao aliukubali kwa shingo pande.

  Kati ya mengi aliyoyamwaga ni Umiliki wa malori 100. Ridhiwani anamiliki malori 100 aina ya Freightliner aliyonunua marekani. Haya magari yanasimamiwa na kampuni inayoitwa Delina inayomilikiwa na David Mosha ambaye Mfanya biashara wa mafuta wa hapa mjini. Dr. slaa alipoyasema haya, ulisema ni muongo ukatishia kumshataki. sasa ndani ya CCM pia tunayasema na ushahidi tunao.

  Ridhiwani tunaomba ukanushe au uthibitishe kwani unamiliki pia vituo vingi sana vya mafuta. Ukikataa, basi yale magari hayana mwenyewe.

  Siku ya Kihama nakuja kuvichukua vyote hasa kwenye serikali ya Mzee mzima ULIYETAMBA KWAMBA HAWEZI KUPATA URAIS AMBAYE KWA TAARIFA YAKO NDIYE ANAYEIENDESHA HII SERIKALI NA TAARIFA ZA KILA KITU TUNAZO RIZ1.. Unafahamu namaanisha nini?
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwani namba ya simu yake huna! huu ujumbe mtumie mwenyewe riz1, ss hautufai kuujadili mana inaonesha unamuuliza swali riz1. muombe nape namba atakupa au muombe ccm baba!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Hivi huyo dogo utajiri wake unafikia kiasi gani sasa hivi? siku hizi kila jengo mjini utasikia la Riz1! ni ukweli dogo ana mpunga wa ufisadi kiasi hicho au ndio kutokuaminiana?
   
 4. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  huyu david mosha si ndyo kajitangaza ana hela nying tz? kanunua gar bilion 1 kumbe mpambe wa riz 1..hayo magar ndo yale yanapak tazara good shed?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu Riz1 siyo kwamba ana miliki malori 100, bali aliagiza malori 100 kwa mara moja kutoka marekani. Hivyo ana zaidi ya Malori 100.
  Tanzania ni mali ya familia moja mkuu haitakiwi uhoji. ukiendelea kusumbua tutakuhoji uraia wako!
   
 6. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nAfahamu vituo vyake vya mafuta vya LAKE OIL vimetapakaa jijini MWANZA
   
 7. G

  GIGIGAGA Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv kama kweli c mje mseme waziwazi coz siku hz ukipita hapa mjini kili jengo ni la RIZ1,usikute na nyie mnawapa matumbo joto tu watanzania
   
 8. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  dr.slaa alishawah kusema uyo dogo riz1 anautajir wa kutisha! yan degree1,malori100,haingii akilini kabisaa huu ni....,.
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  tusubiri siku ya hukumu tutaona atakavyokimbilia jangwani akiwa uchi
   
 10. S

  SUWI JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 11. b

  bob68 Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kazi kulalamika tu vitendo hakuna!!!
   
 12. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Yametimia kua CCM itajimaliza yenyewe, come again mi yangu macho na kujua cha kufanya!
   
 13. d

  dguyana JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NSSF Mpaka miaka 60 huku. Changia Riz babuuu....
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kumbe ndio maana ahadi hazitekelezeki!!!hela yote ya bajeti inapelekwa kwenye familia ya jk....
   
 15. K

  KIBE JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mtabaki majungu tu wenzenu wanaendelea na umri wako unazidi kwenda huna chochote katika maisha yako..kalaga bao.. Watz sahizi tumebaki majungu na fitina za kichadema huku wenzenu wa kenya wanashika soko lenu la Tz..mtabaki watumwa nchini mwenu... Umbea ndo umetujaa ...
   
 16. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145

  we acha tu nasikia hata kituo cha mafuta cha Ibura pale Bukoba mjini (Lake Oli) ni cha kwake. Nilimwuliza mfanyakazi mmoja pale akasema tajiri ni Riz 1. Yule mwarabau mzee Msakanjia alisaidia tu kusimamia ujenzi lakini Bwana mdogo ndiye mwenye mali.
   
 17. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mmewahi kung'olewa meno bila ganzi?.. Mabwepande ni bustani nzuri sana.. Ina maua yenye harufu nzuri! Ina miti yenye matunda matamu na asali ya nyuki wadogo... Pembeni kuna mto mzuri wenye maji baridi ya kunywa!
  Mnakaribishwa sana Mabwepande
   
 18. Robato

  Robato JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  CCM-MAMA >>>Huyo dogo hawezi kumili mali yote hiyo, hiyo ni mali ya baba (mwenyekiti wa chama chenu) na siku zote mko nae huko, si mumpe makavu live!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na kwataharifa yako...mie ntajitolea kulipa oneway flight ticket to Amsterdam...then 10.50Euro to Den Hague (The Hague)
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Imebakia miaka miwili tumalize kazi au hata kabla ya hapo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...