Moto mkubwa turiani waunguza lami Barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto mkubwa turiani waunguza lami Barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tafadhali, Sep 17, 2012.

 1. T

  Tafadhali Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moto mkubwa umewasha kwa ajili ya kuchoma mapori barabarani hali hii ni tata ,wanamazingira mpo?
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu hiyo lami ya majani inayoungua nimeisikia turiani...! Pls ongezea minofu ili tuelewa vyema Mkuu.
   
 3. b

  bob68 Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Barabara ya lami imefika lini turiani ndugu yangu hadi iunguzwe na moto,hapo umechemka.Kwa taarifa turiani hamna lami labda kama si turiani ya morogoro,wilaya ya mvomero!!
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ungewaandikia kuwa kuna faru kafa barabarabi au tembo. au kuna mtu ana shingo za twiga sekunde ungewaona hapo. lakini hivihivi hata ungewaambia msitu wote unateketea watakwambia gari halina mafuta!
  Je wananchi hawajachukua hatua yoyote hapo au hawana tija na pori hilo?
   
 5. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145


  Tupo lakini subiri kwanza ................. kama ataniruhusu!!!!!!
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  moto wa kuunguza lmi bado sijaona!!
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbado bac njoo uone.
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  samaki mwenye mapengo?
   
 9. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbado!
   
Loading...