Recent content by babalynn

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kitanga anahitajika!!

    Mkuu unategemea kumpata mwenye sifa hizi mbili kwa pamoja? Haya ndugu yangu, wishing you luck......
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu kina dada: Mavazi yepi mwapenda wenzenu wavae

    Hata kacheni kamoja ka-kawaida tu ka kistaarabu Mwana?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo

    ishu imekaa 'ki Ze utamu' zaidi..........
  4. B

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mkubwa unaonekana unapenda kweli ligi za kidini, hivi unaelewa ile misamaha haikuwa kwa wakristu tu? Hivi unajua hata taasisi za kiislamu zinanufaika na misamaha hiyo? Unajua hata taasisi za kina Agakhan zinanufaika? Inabidi tufike mahali tukisikia kitu tujaribu kukiangalia in 3 dimensions...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri inapangishwa Tegeta- nyaishozi

    Mkuu mbona unaogopa kuweka tupicha tuwili-tutatu? unatupa mashaka namna hiyo......
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wana SESESCO 1990's,mnaikumbuka Chaka?

    Yule sister alikuwa anaitwa Sr Laura aisee, na yule jamaa alikuwa anafundisha Geography A level na English yake ya ajabu Mr Igoshi yuko wapi jamani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya Edward Lowassa

    Ngoja Pinda akusikie!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Here is a help to pass interviews

    Thank you very much Mutensa, ubarikiwe sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tabora School: Kichwa cha Tanzania

    Mnamkumbuka mzee Dastan aliyekuwa anavaa nguo fulani za kijani? mi hadi leo hata sijui alikuwa anafanyakazi gani yule mzee! Afande Warioba je? Na Afande Peter!
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is Kenya Preparing For War With Somali?

    Hujui unachoongea wewe, hebu mkimaliza huko jaribuni kuleta pua zenu huku uone........ mmenyang'anywa Migingo kama watoto hapo unajishaua nini sasa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

    Mwenyewe umesema No fact No right to talk, wewe harusi yangu ulijua ilikuwa na watu wangapi?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Picha Zisizo Za Kawaida 4: Picha Za Utotoni - Unakumbuka Utundu Ulioufanya?

    Issue kwangu ilikuwa kwenye kuoga! nacheza kutwa nzima ikifika jioni ndio mtihani sasa, unakuta maza anakusubiri mlangoni ukiingia tu unaambiwa nyoosha bafuni, mzee unapiga passport size unatoka, maza aliponishtukia ikawa ananikagua ukitoka bafuni kwanza ngozi ya ndani ya sikio inaguswa kama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

    Hata kama si yeye ali-organise hayo, je alikemea alipoona hiyo situation?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prime low density plots in Mbweni-DSM

    Muheshimiwa bei gani vinaanzia?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Habari hii inaniuma sana

    Nadhani ni madhara ya bangi, na kwa jinsi navyomsoma marehemu na maisha yake yanavyoonekana ingekuwa ngumu sana kukaa na mvuta bangi.........hakika ni hasara kwa jamii, taifa na familia yakina Bertha, Mungu masamehe dhambi zake dada Bertha na amrehemu, ila huyo bwana SIMUONEI huruma hata chembe!
Back
Top Bottom