Habari hii inaniuma sana

hehehe mkuu ndo maana mimi nahit na kurun tu maswala ya kufall in love noma mzee angalia sasa jamaa anakalia debe atajuuta kupenda. Hapo mpaka kesi yake ianze kusikilizwa ni kama baada ya miaka 2 atajuuta.
Mpuuzi huyo.....dunia hii unagombea shori? wamejaa jolly ni kujisevia tu......

.....ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee...
 
Naililia Tanzania ya leo na inayokuja kesho. Sijui itakuwaje maana tuliyokuwa tunayasikia kwa wenzetu ndo tumeamua kuyaiga bila kuacha nukta.

Mungu awape subira ndugu wa marehemu. Na pia huyu bazazi aliyeua najua sheria itafuata mkondo wake ila namuombea apate ufunuo akiwa mahabusi na kuacha mibangi yake....

Ila swali linalonikosesha raha mimi ni KITU GANI HASA mwanafunzi anafuata chuoni??? Mapenzi au ujuzi???
 
Mpuuzi huyo.....dunia hii unagombea shori? wamejaa jolly ni kujisevia tu......

.....ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee...

hehehehe kama Jolly bei anaenda kwa wale akina mama wa Kagera wapo wengi sana pale Mwananyamala na Buguruni maeneo ya Kigoma guest house bei chee 2000/= unapewa huduma safi pesa hiyo hiyo gharama ya chumba na condom na tissue.
 
Duh kaka mpaka hiyo?
 
hehehe mkuu ndo maana mimi nahit na kurun tu maswala ya kufall in love noma mzee angalia sasa jamaa anakalia debe atajuuta kupenda. Hapo mpaka kesi yake ianze kusikilizwa ni kama baada ya miaka 2 atajuuta.

Kweli kabisa komredi. Maswala ya kumdondokea mtu yana madhara mengi sana. Ni bora mtu uwe single....ukipata wa kumega unammega halafu unasepa
 
Wakulya na wajaluo ndo walivyo, visu, mapanga, na silaha ni vitu vya kawaida sana kwao kutumia against adui zao!! Hili tukio linanikumbusha matukio mengi tu toka O'level mpaka Chuo kikuu. Hawa jamaa ni noma, hata ukitumia kikombe chake cha chai varangati itakayotokea hapo usipime!! Siku utakapo tumia sukari yake ndo balaa, mnaweza msilale bweni zima kwa tifu atakaloanzisha!!

RIP Bertha!!
 
Nadhani ni madhara ya bangi, na kwa jinsi navyomsoma marehemu na maisha yake yanavyoonekana ingekuwa ngumu sana kukaa na mvuta bangi.........hakika ni hasara kwa jamii, taifa na familia yakina Bertha, Mungu masamehe dhambi zake dada Bertha na amrehemu, ila huyo bwana SIMUONEI huruma hata chembe!
 
Mpuuzi huyo.....dunia hii unagombea shori? wamejaa jolly ni kujisevia tu......

.....ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee...

Hehehehehehee...hata mimi nashangaa...Jolly pale kuna shori za nguvu. Kama mtu uwezo huna bana matumizi na siku ikifika utakamua.
 
.com
Kweli kabisa komredi. Maswala ya kumdondokea mtu yana madhara mengi sana. Ni bora mtu uwe single....ukipata wa kumega unammega halafu unasepa

hehehe mm kaka ndo maana wanawake iwa wananiambia ati sijui kupenda aah unaweza ua mtu bure unagharamia alafu shori anakupiga chini inauma...hii ya kuhit na kurun ndo yenyewe naipenda sana.
 
hapana bwana!
Big no!
 
tatizo lako wewe Mwana ni Tomaso sana iwa huniamini kabisa.
Haya nenda kule habari mchanganyiko tuwasaidie ndugu zetu wa Mbagala.

Hapana kaka sio hivyo. Mie nimeuliza kwa kuwa it seems wewe mzoefu coz that is a very small thing kukumbuka baada ya kupagawishwa na mauno ya kina yakhee!! Joke
 
hehehe Bila utafiti huna haki ya kuongea upo hapo?
Haya twende kule tukasaidia wenzetu wa Mbagala.
 
Mpuuzi huyo.....dunia hii unagombea shori? wamejaa jolly ni kujisevia tu......

.....ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee...

Shem kwa kweli jamaa hamnazo, kitendo cha kutumia kisu kumchana chana huyo dada hakuna sababu inayoweza kukubalika....! Demu akiamua kuruka na njemba nyingine shega tu...dawa yake unamjibu kwa demu mkali zaidi yake...lazima heshima irudi....Maisha yangeendelea kama kawaida.

Jamaa anakaa mabibo Hostel kule mademu hawana gharama na ni wakali ile mbaya...Yo Yo usiende huko! Ila sasa atajuta maisha yake yote na ujanja wa kufikiri akitumia m.b.o.........!
 
Musiba umefanya nini? ona sasa dunia nzima inakuelekezea vidole. Haikumstahili adhabu kama hii dada huyu. Inaniuma sana kwani inaonyesha humumpenda kwa dhati mpaka ukatenda hilo. Dunia nzima itabaki inakushangaa daima dumu. Mungu amrehemu BERTHA
 
.com

hehehe mm kaka ndo maana wanawake iwa wananiambia ati sijui kupenda aah unaweza ua mtu bure unagharamia alafu shori anakupiga chini inauma...hii ya kuhit na kurun ndo yenyewe naipenda sana.
Pole kwa sababu hujiamini.
 
Shem kwa kweli jamaa hamnazo, kitendo cha kutumia kisu kumchana chana huyo dada hakuna sababu inayoweza kukubalika....! Demu akiamua kuruka na njemba nyingine shega tu...dawa yake unamjibu kwa demu mkali zaidi yake...lazima heshima irudi....Maisha yangeendelea kama kawaida.

Jamaa anakaa mabibo Hostel kule mademu hawana gharama na ni wakali ile mbaya...Yo Yo usiende huko! Ila sasa atajuta maisha yake yote na ujanja wa kufikiri akitumia m.b.o.........!
Msidanganyane, na wala sio eti na msupport huyo kaka, hii nadhani ilikuwa ni maswala ya kipenda roho, hula nyama mbichi. Maana hata yeye alijua tosha hatoweza kumpata tena toto zuri, mcha Mungu na mwenye tabia nzuri tena...nadhani alijua tosha angeweza kwenda Jolly nakuokota ila aliona hayo sio maisha. Sema tuu uamuzi aliochukua ulikuwa si mzuri, angejirudi nakujikangua mienendo yake na kuirekebisha. Kisha amuombe Mungu wake ampe tena kama yule aliyekuwa naye (R.I.P Bertha). Muache kupotoshana wanaume, tumieni akili alizowapa Mungu wenu katika kupambanua mambo, sio kiholela kama awazavyo huyo ndugu hapo juu na wengine waliotangulia. Mbarikiwege sana.
 
Back
Top Bottom