Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Idimi, naanza kuingiwa na wasiwasi kwamba Mtade_Halisi na Pope ni mtu mmoja, na pengine kama si hivyo, ni watu waliojiunga JF jana kwa ajili ya kazi ya kumsafisha Edo. Just try to read between the lines.
Tunaelezwa kuna Agenda 21...a group specifically built to ascend someone back into power. Na inasadikika kuna vyombo vya habari au waandishi wamehongwa ili kumshafisha Edo. Is JF now being used for the purpose?
Nakubaliana na wewe kwa kila hali, kwamba huenda naye ni wale walinunuliwa hivi juzi ili kusafisha jina lake, ndio maana nikampa reference kijana mgeni Mtade kwamba aangalie hizo threads nilizomwelekeza ili ajue Lowassa tunayemuongelea ni yupi, huenda kuna Lowassa mwingine anayemfahamu! Lowassa tunayemfahamu sisi ni yule ambaye alikataliwa na Mwalimu kugombea nafasi za juu kule sisiemu mnamo mwaka 1995, na kwa taarifa yake hajabadilika kabisaaaaaaa!
Hapa haonewi wala haogopwi mtu!