Picha Zisizo Za Kawaida 4: Picha Za Utotoni - Unakumbuka Utundu Ulioufanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha Zisizo Za Kawaida 4: Picha Za Utotoni - Unakumbuka Utundu Ulioufanya?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Superman, Jun 13, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mimi nakumbuka wakati niko darasa la kwanza, nikichelewa shule najificha katika mti mdogo wakati wenzangu wako assembly. Assumption yangu ilikuwa kama macho yangu hayawaoni na wao hawanioni. Hata pale ambapo naitwa kuwa "Wewe, njoo hapa umechelewa", bado nilijifanya mjanja hadi mwalimu aje aniibue.

  Pili, nilikuwa mkali sana wa kucheza gololi, nilikuwa na makopo mawili ya gololi na nilikuwa nawamanga sana gololi.

  Of course michezo ya kushindana kukojoa kujua nani mwenye mkojo mrefu sikuwahi kuicheza kabisa . . .

  Je wewe unakumbuka nini?

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo ndio wewe ulivyokuwa mdogo?
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Haaa haaaa; hapana mkuu.

  Hizi ni picha tu za kuokota.

  Unaweza ukashare na sisi utundu ulioufanya ambao unaukumbuka?
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nakumbuka baba akinipeleka kuchoma sindano hospitali, mpaka dakatari alipate kalio langu nakuwa nishamchapa vibao kwanza, halafu hapo tena jopo la watu liokotane linikamate ndo zoezi liendelee.
  skunyengine faza akitaka kunipeleka kuchoma tena, ananiongopea tunakwenda kununua nguo mpya,ananipakia baiskelini haooo, tukikakaribia mnazimmoja eneo la mkumbusho, nachupa baiskelini mbio, faza ananifukuza, akinikamata nakula fimbo nzuri, mpaka kwa daktari.
  Du utoto bana,
   
 5. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  I remember my other used to put me to bed for the afternoon naps then silali.Akirudu akiona kope zinacheza ni vibao vinatembea.Someimes I could fake sleeping for 3 hrs.
  Na zile baba na mama zinanikumbushia mbali sana.I had one special hiding place with a gal cousin of mine.
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Du! Mkuu noma saanaa . . .

  Umenichekesha mzee mzima mpaka nimelia . . . wife anashangaa tu
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Du, jamaa zangu leo mnaniliza tu kwa kicheko . . . Kazi kweli kweli
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du, Mkuu, wife ananiambia yeye mother wake alikuwa anamwekea keki katika container yake ya chakula. Shida ni kuwa kuna washikaji wengine walikuwa wanawekewa vitumbua au mhogo. Basi wife akijisahau jamaa wanambadilishia vitumbua na keki wanachukua wanakula.

  Naam, wife alikuwa anarudi home analia . . .
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mzee mzima vp, haka kamchezo bado unakaendeleza au...?
  unajua kuna wengine wanakua nazo tabia hizi mpaka watu wazima.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Jun 13, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ah ah ah ah ah ah ah..... Hii inanikumbusha, mtoto wa mama yangu mdogo, yeye baba yake alikuwa ni daktari. Baba yake alikuwa ana tabia ya kuwapiga sindano mwenyewe kama wanapata maralia.

  Siku moja kijana ilibidi apigwe sindano na baba yake mwenyewe, tatizo likawa jinsi ya kumkamata. Kwanza kijana alikuwa anaumbo dogo na mwembamba sana, ila kilikuwa kinamaguvu fulani hivi. Ilituchukuwa kama watu wazima wanne kumdhibiti ili achomwe sindano.

  Lakini hata hivyo, mzee (Doctor) alishindwa kumchoma sindano kwa sababu, kijana makalio yalikuwa yanacheza utafikili anacheza ngoma ya sindimba.
   
 11. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mkuu; haka kamchezo ka baba na mama, nakumbuka kaliwahi kuleta shida mahali fulani . . . watoto walikuwa wakubwa kidogo walitaka kufanya kweli watu wazima wakawawahi . . .

  Du! Utoto Bana . . .
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mkuu, umenikumbusha mabli sana. Mimi nilikuwa na mdogo wangu wa kike sasa hivi ni Daktari. Yeye akijua kuwa ni sindano, anaanza longolongo nyiiiingi na kujieleza kuwa yeye haumwi tena na yuko fit. Mara Oooh, nitakuwa mtoto mzuri nk. Mkimshupalia akifika hospitali anawatoroka na kujificha. Mkimpata wakati sindano zinatayarishwa (wakati huo disposable hazikuwepo) alikuwa anaingia chini ya uvungu wa meza . . .
   
 13. I

  Ipole JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Moja kwa moja siyo yeye sijajua lengo lake ni nini
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mkuu Superman,
  Na kubalehe(kutoka utotoni) nako kunamambo yake, kuna siku tupo darasani katika somo la Bayolojia, mwalimu alikuwa nafundisha topiki ya uzazi (Reproduction) kwa binaadamu, wakati anasisitiza nukta fulani inayohusu upenyezaji(penetration),mara kwa hukoooooo tukaskia sauti"...aaaaagh...sh...sh...sh...", ilitokea dawati la nyuma(back bencher), kumbe kuna kijana lesson ilipanda sana kichwani, tuligeuka tukamkuta hoi najichua(masterbation).
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Jun 14, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Sikuelewa nikiwa araa la tano kuna dada anaitwa Pendo alikosea kuandika neno Shahada akaandika Shahawa. Mwalimu wa Kiswahili akamchapa sana, mi sina ninaloelewa, lile neno lilinikaa akilini sana, then baadae sana ndio nikakumbuka kuuumbe...
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mmenikumbusha mbali, mie enzi za utoto wangu nilikuwa napenda kuogelea kwenye mvua. Siku mvua ikinyesha nilikuwa nawahi kuondoka shule kabla mama hajafika kunichukua ili niloe, basi mama akifika home alikuwa ananipiga haswa.
   
 17. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  upanga primary school,mwalimu(hivi sasa ni a very prominent person in tanzania)ananituma nikamnunulie tampax patel stores(opposite daily news offices)ananisihi niwambie waweke kwenye mfuko-many years later after knowing what it was ninacheka na kuhisi nilikuwa mjingamjinga ndio maana alikuwa ananituma mimi.
  Again at age 17 me dicing with death,with freinds tunakwenda ferry na tunaogelea mpaka upande wa pili kigamboni na kurudi-sasa hivi nikikumbuka what a risk we were taking
   
 18. b

  babalynn Member

  #18
  Jun 15, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Issue kwangu ilikuwa kwenye kuoga! nacheza kutwa nzima ikifika jioni ndio mtihani sasa, unakuta maza anakusubiri mlangoni ukiingia tu unaambiwa nyoosha bafuni, mzee unapiga passport size unatoka, maza aliponishtukia ikawa ananikagua ukitoka bafuni kwanza ngozi ya ndani ya sikio inaguswa kama inajoto maana yake maji hayajapita au unaweza kupiga passport size fresh kabisa kumbe kwenye supu za miguu kwa nyuma maji hayajagusa! hapo ni mboko tu ukizingatia maza alikuwa ticha! Sijui hata tatizo lilikuwa nini maji yenyewe ya moto, utoto tu, ila wakuu siku hizi naoga jamani tafaadhali msinifikirie ndivyo sivyo..........
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jun 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mimi nilianza kumega nilipokuwa na miaka mitano. Nilianza na housegirl wetu. Yeye alikuwa mkubwa kidogo. Nadhani alikuwa kwenye mid teens...fifteen or sixteen...

  Nakumbuka nilikuwa nammega sana....
   
 20. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  at five you were hardly out of your nappies yet,and bedwetting kwa kwenda mbele,sasa au could you mega OR maybe you wanted to tell us that at you were being looked after by a nanny
   
Loading...