Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabosi wa Swissport wamsababishia kifo mfanyakazi wa Cargo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Jul 16, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotufikia ni kwamba mfnayakazi mmoja wa swissport kampuni ya mizigo airport amekunywa sumu baada ya kuchukizwa na mabaya aliofanyiwa na mabosi wake...akiongea huku akishika barua yenye kkuonyesha kilichomuua mleta habari alisema marehemu aitwae MZEE MWAKALINGA amekuwa mstari wa mbele katika kufichua uovu wote uliokuwa ukifanywa na vijana wa swissport wakihakikishiwa kupona kama itatokea kesi yoyote...miaka ya nyuma bosi mmoja alidiriki kumsimamisha kazi kwa zaidi ya miaka miwili mpaka alipomrudisha...mabosi hawa wanaitwa mr semkanga..SR &JR

  Hawa wameshika ukuu wa cargo kwa muda mwingi kutokana na kula na wakuu wao kwa kuwapatia mali ya wizi wanayoiba kwenye NDEGE ZA EMIIRATES ,KLM NA NYINGINEZO.....................SASA KWA MTAJI HUU
  HUYU BWANA AKANYANYASIKA SANA........KIBAYA ZAIDI HAWA MABOSI WANASADIDIKA KUUMWA ....KAUGONJWA CHETU...SASA WALICHOMFANYIA NI KUANZA KUTEMBEA NA MKEWE NA KAMA MNAVYOJUA WANWAKE WENGINE SITAKI NTAKE...JAMAA ALIPOJUA HILO AKAONA KULIKO KUFA KIFO CHA AIBU NGOJA ATANGULIE...NDUGU ZANGUNI SWISSPORT....KUWE MAKINI NA HABARI ZILIZOFIKA HIVI PUNDE HUYU BWANA MMOJA SEMKANGA WALISHAMTOA MOJA YA WEBSITE KWA KASHFA YA KUMLAZIMISHA MKE WA MTU KUFANYA MAPENZI AMPE POSN PALE CARGO....SASA KWA MTAJI HUU NDUGU YETU TEMU SI ANGEKUWA AHIACE 3(TAU )JAMANI???HAYA MADADA TUNAWACHIA WENYEWE
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Nime elewa lakini sijaelewa imechanganyika mno
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hiyo title ikae vizuri kidogo, maana nilishtuka kusikia wamemuua, kumbe una maana wamesababisha ajiue.
   
 4. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  ameandika kwa wasi wasi utadhania alikuwa anakimbizwa,source ya habari haijatulia.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Naona ameanza vizuri halafu mwishoni akachanganya gwaride hadi steps zikapotea!!!

  OKSir.... sie wengine bongo zimeganda!! Hebu refresh hiyo news itoke fresh!!
   
 6. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #6
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  AINA nyingine ya UPUUZI, sio uongo, enzi zile nilkuwa natembelea ZE UTAMU, WHY? you never know unaweza kuamka asubuhi unakuta picha ya mama mkwe, ni bora uione wewe kabla hujahadithiwa na mtu. habari za kupakana matope kwa huyu BOSS wa Swissport na kuzushiwa NGOMA iliwahi kutoka huko huko naona jamaa amehamia HAPA HAPA na BEEF zake za KULEEEEEE.

  Mtu utajiua vipi eti kuogopa kifo cha NGOMA???? Tuambie ALIPIMA au??????????
   
 7. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hii habari inawalakini kidogo kwa namna hali ya hako kaugonjwa ketu bongo si rahisi mtu aliye timamu hata kama alipima na kugundulika yupo +ve ajiue mi nakataa kwa hilo kwani counseling zinafanya kazi vizuri tu,dawa za kupunguza makali zipo bwerere. Tafuta habari inayofaa KUELIMISHA sio KUPOTOSHA JAMII.
   
 8. O

  OkSIR Senior Member

  #8
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oksir

  source ukisoma hapo juu ziko mbili...niliandika mkono ulikuwa unatetemeka.....jamani...kumsikia tena huyu baba...

  1))kitendo cha jamaa kuchoma kwa watu kuhusu wezi wa mizigo ya kwenye ndege...mnajua ama kama ishakutokea umeibiwa simu kutoka mizigo ya cargo...huyu bwana post yake kusimamia wale wanaoshusha mizigo ,,,sasa ikiwa inanyofolewa anaona live ...akalalamika sana huyu bosi wake akampiga mamemo ya ajabu ajabu.....

  2))ni kuhusu huyu bwana kuamuakutembea na mkewe..na wakati huo marehemu alijua bosi wake anaumwa....ameandika barua ndefu tu jamani ipo pale cargo kwa watu baadhi.....,,inasikitisha kama anakesha nawatotot wa swissport ajatosheka kaamua kufamakamia wake za wafanyakazi wenzake...mh kazi unayo mama maro.meneja muajiri
  hawa vipanga wa mapenzi umewatoa wapi jamani??????????
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu stashangaa alikosa kamba tu angejining'ing'iza anatokea kule kule home land Unyaluni.
  Poleni wafiwa R.I.P Mzee Mwakalinga.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,382
  Likes Received: 5,667
  Trophy Points: 280
  MKUU KANDA2

  AINA nyingine ya UPUUZI, sio uongo, enzi zile nilkuwa natembelea ZE UTAMU, WHY? you never know unaweza kuamka asubuhi unakuta picha ya mama mkwe, ni bora uione wewe kabla hujahadithiwa na mtu. habari za kupakana matope kwa huyu BOSS wa Swissport na kuzushiwa NGOMA iliwahi kutoka huko huko naona jamaa amehamia HAPA HAPA na BEEF zake za KULEEEEEE.

  Mtu utajiua vipi eti kuogopa kifo cha NGOMA???? Tuambie ALIPIMA au??????????

  TUMEWAAHI KUMHUKUMU ;LABDA ALIJIUA KUTOKANA NA KUNYANYASWA NA MABOSI KUHUSU WIZI ....UKIMWI...
   
 11. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii taarifa ifuatiliwe na wahusika jamani na si kuibeza kwani jamii imeharibika.Kuna watu wakiukwaa hutaka kuwaangamiza wenzao.
   
 12. Q

  Queen Sorais Member

  #12
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lets not rush to conclusions great thinkers!
  The deceased was implicated in malpractices as per the following report:

  On Friday last week he was summoned to appear before the disciplinary panel to answer charges that he was involved in the disappearance of a mailbag but was subsequently found pilfered but he could not show up. He was reported sick of BP. CCTV footage showed that the deceased together with another staff (name withheld)were caught tampering with mailbags in the absence of Post office official as required.
  On Monday 13 July 09 he reported to his office and was advised to continue reporting every Monday until his case is deliberated and decision made.
  On 14th July 2009 he was rushed to TMJ and passed away when the doctors were working hard to rescue his life.The hospital observed that it was possible he died of poison. The relatives reported the matter to police and the body was taken to Muhimbili hospital.
   
 13. b

  babalynn Member

  #13
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ishu imekaa 'ki Ze utamu' zaidi..........
   
 14. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Oksir,

  Hebu tutundikie hiyo barua unayoisema hapa kama huwezi nyamaza milele maana habari hii imekaa ki-zeutamu fulani hivi.

  Tiba.
   
 15. Q

  Queen Sorais Member

  #15
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo OkSir inaelekea ni mdau katika masuala yaliyojiri.......hadi ikapelekea Kalinga kama anavyojulikana kazini ( wala siyo Mwakalinga japo yote ni majina sahihi)kukatisha maisha yake.

  Kujiua kulitokana na Marehemu kuogopa fedheha ambayo ingemkumba baada ya kukutwa red-handed katika wizi wa vifurushi vya posta wakati yeye alikuwa mstari wa mbele kuwachomea wenziwe kuwa wanaiba.

  Kama kuchukuliwa hatua na mwajiri kama namna ya kupambana na maovu sehemu za kazi kutafanya watu wawe wanajisumu/kujiua ili waajiri walaumiwe, basi tutayaona mengi sana!

  OKSIR jaribu kuwa mstaarabu katika kuleta taarifa kwenye jamvi..kuwa mkweli badala ya mzushi!
   
 16. O

  OkSIR Senior Member

  #16
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  qureen sorais

  ukweli halisi anao bosi wako..mzee wa watu hakuwa kama unavyidanganyana jamii,,najua unajua tabia chafu ya hao mabosi..kuja na story ya kumsafisha kwa nini tusiwape uhuru watu waje TERM 1 KUPATA UKWELI...badala ya kila mtu kutoa soln zizizosaidia...mwenye muda wake aje term 1(uwanja wa ndege wa zamani)kabla ujafika angalia kushoto kuna geti ingia hapo usikimbilie kwa mabosi nenda onana hata na kadampa akueleze....ukweli halisi...hapo mimi na queens tuwaachie watu ku judge ukweli..................ama queen kama vipi............tuanike upuuuzi wa hao mabosi wako waliokutuma.....na kuwaaataja aliolala nao////////////naomba usipate tu pressure....na wewe ukawa ndani ya karandinga....
   
 17. O

  OkSIR Senior Member

  #17
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oksir,

  Hebu tutundikie hiyo barua unayoisema hapa kama huwezi nyamaza milele maana habari hii imekaa ki-zeutamu fulani hivi.

  Tiba

  shame on you tiba ...unaijua nenda term 1...ukasaidiwee.............na kama vipi nipe muda huku sitoiweka....ntazisambaza kwenye email za mabosi wako na wote......msibani aikuwa siri na kila mtu mwenye mapenzi mema akiiulizia anaonyeshwa copy......shame all.....mtanyanyaswa mpaka lini????
  msikubali kupewa kazi kwa ajili ya mapenzi haya ndio madhara yanayowafanya hata wadau waliopitiwa na waheshimiwa kukimbilia kuwasaidia...ndio maaana nikasema hapo...ipatikane soln....,,,,,mapenzi na kazi vitu viwili tofauti...haya mambo ndugu ni hatari..madada wengi mmeajiriwa swissport kwa kutoa Hongo..ya mapenzi...na ndio maana niikiwa kama mdau wa swissport nilichangia siku niliipoona mada ya ajira feki za swissport....ambazo mustakabali wake unajua kilichofanyika watu kufukuzwa ovyo kwa vyeti feki....,hongera mama maro kwa hili...ila embu tunaomba endelea kufwatilia kwa makini kule cargo..hatari tupu ,wizi mtupu.,,..mapenzi=kazi...wangai hawajui wizi mchafu unaofanywa pale cargo na wafanyakazi wa swissport.....huyu temu ajiulizi kila siku analetewa malalamiko ya wizi wa simu box kadha.laptop kadhaaa...bado unawangangania watu mwisho wa siku utachafuliwa jina na kuonekana na wewe mkuu unashiriki wakati sio boss wetu...
   
 18. O

  OkSIR Senior Member

  #18
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OKSIR jaribu kuwa mstaarabu katika kuleta taarifa kwenye jamvi..kuwa mkweli badala ya mzushi!

  """"""""""tehetehheeteeheeeee"""""""mstaarabu bosi wako alieshiriki mauaji ya mfanyakazi...............
   
 19. O

  OkSIR Senior Member

  #19
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  quuuuuuuuiiiiiiiiiinnnnnnnnnnn

  unaonajee ukaenda kupima na semkanga SR....majibu tukayaweka hapa huku nikikuorodheshea wanawake walioshiriki uzinzi kwa ajili ya kuhamishiwa CARGO...kutoka dep tofauti....na huyo mh,.....
   
 20. O

  OkSIR Senior Member

  #20
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cargo dep .............temu watch out.........???????????????????????????????
  Mchezo michafu ya rushwa inatendeka ndani wacha zile za wizi wa mizigo ambazo wewe mwenyewe ulikiri ngumu kushugulikia....lakini end of the day mnawalipa hamwoni mnaitaji kuchukua tahadhari kuokoa hasara za refund kila mara....simu 200 zinaibwa //laptop 50 hizi hawabbebi kwenye mifuko...hadharani kwa raha zao na a pale getini tumeandika barua tuletewe pcb wawe wanasimama pale...aiwezekani mfanyakazi wa kupakua mizigo anapita na tax.........getini ana laptop 50/na simu 200-500 bila documents...shame all
   
Loading...