Recent content by Baba Paroko

  1. B

    JamiiForums Tanzania Karamagi unangoja nini kujiuzulu?

    NO,NI RICHMONDULI.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Sheria: Rais Mwinyi Aliua Wengi Zaidi!

    Kassim Hanga?? Kweli mkjj una data za kutosha.....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Kazi Kwekweli.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siku JF Watakapoitisha maandamano nchi nzima

    Wapendwa wana JF mimi naona hiyo siku ilikwishaanza.Maana ya hii forum (ninavoelewa mimi) ni kuelimisha jamii sasa jamii imeelewa tayari na ina hasira kali!! Jamii imejua chao (kilichoibwa)imeamua kukifata Bunju kilikofichwa. Ufunuo, farasi wa kwanza...kujua chako. farasi wa pili ...kupata...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kubenea Wale Ndio Watesi Wako Kweli?

    Kubenea,say something...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Hii ndiyo iliyomuua SHENAZZZ?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tulipokuwa primary,unakumbuka?

    Mnakumbuka masomo tu michezo? 1.BABA NA MAMA. 2.AMSINI PUTUKA. 3.KUCHONGANISHWA ILI MPIGANE (KUPUNJA) 4.KUJIFICHA. 5.JUONGEA KINYUMENYUME. Yaani ni mingi mpaka basi.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Wapendwa, huwezi kutuma sms ikatokea private namba, never ever.Jaribu kutunga kitu kingine.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Mhhh kazi kwelikweli.Ninasoma hii habari nashindwa kuamini kuwa Mangula aliyesifia ushindi wa kishindo wa 2005 anagundua leo kuwa kuna rushwa ndani ya THITHIEMU na kuna wanamtandao,KWELI KAZI IPO.
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

    `BWANA AMETOA YEYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE'Poleni sana wanafamilia. Mtanzania, Nimekukubali.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Safi Rubani awashusha Mawaziri kwenye Ndege

    Nyiti?unamaana Henry Nyiti?Kifaru wa mawe?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Haya mapete yana issue,Mkapa alianza kuvaa akiwa Rais.Kikwete alivaa moja wakati wa kampeni mwishoni mwa kampeni mbili.Sio bure.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    "KELELE ZA MLANGO HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA"Sawa,Hata Sadam Hussein hakuwahi kufikiri kuwa angeishia hapo.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Buriani Amina Chifupa!

    Amina umejitenga,kufaumetangulia. Kama ua unafunga,baada ya kuchanua. Nakuombea manani,upumzike salama. R.I.P Binti mchapakazi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Mafuchila wapo wanaohitaji maombi,nami ni muombeaji tu kwa kweli kama uko karibu na huyu ndugu mshauri aingie kwa hii forum nitamuombea japo niko mbali kidogo na home.
Back
Top Bottom