Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 162
habari ya asubuhi wanabodi,
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi la leo,Inasemekana ajali ya Marehemu salome mbatia iliyotokea tarehe 24 oct. ilimlenga Mhe. zitto kabwe.
Zitto amesema kabla ya kufika katika eneo la ajali,alisimama kununua kinywaji baridi aina ya Red bull,na kwa hiyo gari la salome likampita na dakika chache ajali ikatokea.
Zitto ansema muda mfupi kabla ya kusimama kununua Red Bull alipigiwa simu na Naibu Waziri mmoja ambaye alimuuliza aliko.Anasema Alimjibu kuwa yuko njombe ingawa likuwa hajafika.
ilikuwa baada ya kununua kinywaji,hata kabla ya dakika 10 hazijapita,nikakuta gari la salome likiwa limepata ajali,sijui,lakini kutokana na mazingira yalivyo ajali ile ilikuwa imepangwa,na mlengwa alisema akiwa mimi..alisema Zitto
hiyo ni kwa kifupi tu,Swali la kujiuliza..Je huyu naibu waziri ni nani..Gazeti la Mwanahalisi wamemficha ,Ila najua hapa JF watamuanika hadharani,tumechoka na hawa wauaji,lazima wananchi waambiwe ni nani ili wananchi wasimchague tena.Mapamban ya kifikra yamekalibia kufanikiwa..
inasemakena siku ya ajli ilipotokea asubuhi yake waaandishi wa habari waandamizi waliambiwa wajiandae kutatokea "habari kubwa" na namba iliyotuma huo ujumbe ilikuwa inaonesha private!!
Naomba kuwasilisha hoja hii nzito tuweze kubaini,Nini na ni nani hasa wahusika wa mpango huu..We always talk openly