Siku JF Watakapoitisha maandamano nchi nzima

Ufunuo wa Yohana

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
319
68
Dunia nzima watajua kumekucha Tanzania!

Ninaona jinsi watanzania kutoka kila pande za dunia watakavyomiminika kuja Tanzania na kuungana na Watanzania walio ndani ya nchi wanaoitakia mema nchi yao Tanzania.

Siku hiyo kutakuwa na wingu nene lililojaa utukufu wa Mungu likimgusa kila aliyeko barabarani kwa maandamano akinena kwa ujasiri yale yote ambayo yamekwamisha maendeleo ya nchi hii. Watu watanena kwa lugha za maeneo yao wakiwahadaa mafisadi, walarushwa, wezi na itakuwa ni siku ya kusaga meno kwa hao wanaocheka leo.

Hiyo siku na inakuja, na si mbali sana

Ndipo hapo watoto watawakana baba zao wakisema sikuwa mimi niliyekuwa fisadi, bali ni baba na mama! na mama naye atamkana mumewe akisema ni mume wangu tu aliyekula. Eee baba laiti unjejua hizo nyumba ndogo ulizo nazo huko sinza zitakukana siku hiyo ungeamua kuacha kuanzia sasa.

Siku hiyo ndiyo itakuwa ya mwisho kwa viongozi wachafu kulaghai wananchi na kuwakebehi. Roho wa Mungu atapita kila pande ya Tanzania akiwaamsha na kusema amkeni na mmeteseka vya kutosha mkaenende katika panda mkiimba nyimbo za ushindi kwa wenye haki kuinuliwa.

Natamani siku hiyo inikute nikiwa hai

Wana Jambo Forum watakuwa mbele wakitimiza maandiko elfu elfu yaliyo ktk forum hii. Waishio nje ya nchi hawatahesabu gharama za kuja Tanzania na hata hasara yoyote watayopata ikiwa ni pamoja na kuacha kazi zao nzuri ila watahesabu faida kubwa itayopatikana baada ya maandamano hayo makubwa ambayo hayakuwahi kutokea hapo kwanza.

Siku hiyo haki itapatikana, na maendeleo ya kweli yataanza kuonekana.

Roho wa Mungu atatanda kila kona ya nchi akileta hofu kwa mafisadi wote na kulazimika wengine kuzikimbia mali zao maana siku hiyo itakuwa ni yenye kishindo kikuu. Watoto kwa wazee, wanaume kwa wanawake, wasomi na kwa wasiosoma watashika matawi ya mti ule wa haki wakinena kwa lugha wanayoijua ni wenye haki tu! na mafisadi wakisikia sauti na wasijue wanaongea nini.

Mfadhili mkuu wa maandamano hayo atakuwa ni Roho wa Mungu.

Mwenye masikio na asikie na akae tayari kwalo

UY
 
Naam. na siku kweli yaja! Heri wenye masikio maana sauti zimepazwa. Heri wenye macho maana wanaona mateso ya wahanga wa ufisadi. Heri wenye moyo safi maana watabadilisha mateso haya na kuwa furaha ya waja.
 
Dunia nzima watajua kumekucha Tanzania!

Ninaona jinsi watanzania kutoka kila pande za dunia watakavyomiminika kuja Tanzania na kuungana na Watanzania walio ndani ya nchi wanaoitakia mema nchi yao Tanzania.

Siku hiyo kutakuwa na wingu nene lililojaa utukufu wa Mungu likimgusa kila aliyeko barabarani kwa maandamano akinena kwa ujasiri yale yote ambayo yamekwamisha maendeleo ya nchi hii. Watu watanena kwa lugha za maeneo yao wakiwahadaa mafisadi, walarushwa, wezi na itakuwa ni siku ya kusaga meno kwa hao wanaocheka leo.

Hiyo siku na inakuja, na si mbali sana

Ndipo hapo watoto watawakana baba zao wakisema sikuwa mimi niliyekuwa fisadi, bali ni baba na mama! na mama naye atamkana mumewe akisema ni mume wangu tu aliyekula. Eee baba laiti unjejua hizo nyumba ndogo ulizo nazo huko sinza zitakukana siku hiyo ungeamua kuacha kuanzia sasa.

Siku hiyo ndiyo itakuwa ya mwisho kwa viongozi wachafu kulaghai wananchi na kuwakebehi. Roho wa Mungu atapita kila pande ya Tanzania akiwaamsha na kusema amkeni na mmeteseka vya kutosha mkaenende katika panda mkiimba nyimbo za ushindi kwa wenye haki kuinuliwa.

Natamani siku hiyo inikute nikiwa hai

Wana Jambo Forum watakuwa mbele wakitimiza maandiko elfu elfu yaliyo ktk forum hii. Waishio nje ya nchi hawatahesabu gharama za kuja Tanzania na hata hasara yoyote watayopata ikiwa ni pamoja na kuacha kazi zao nzuri ila watahesabu faida kubwa itayopatikana baada ya maandamano hayo makubwa ambayo hayakuwahi kutokea hapo kwanza.

Siku hiyo haki itapatikana, na maendeleo ya kweli yataanza kuonekana.

Roho wa Mungu atatanda kila kona ya nchi akileta hofu kwa mafisadi wote na kulazimika wengine kuzikimbia mali zao maana siku hiyo itakuwa ni yenye kishindo kikuu. Watoto kwa wazee, wanaume kwa wanawake, wasomi na kwa wasiosoma watashika matawi ya mti ule wa haki wakinena kwa lugha wanayoijua ni wenye haki tu! na mafisadi wakisikia sauti na wasijue wanaongea nini.

Mfadhili mkuu wa maandamano hayo atakuwa ni Roho wa Mungu.

Mwenye masikio na asikie na akae tayari kwalo

UY

SIku hiyo yaja upesi sana kuliko ilivyodhaniwa kabla!
 
Wapendwa wana JF mimi naona hiyo siku ilikwishaanza.Maana ya hii forum (ninavoelewa mimi) ni kuelimisha jamii sasa jamii imeelewa tayari na ina hasira kali!! Jamii imejua chao (kilichoibwa)imeamua kukifata Bunju kilikofichwa.
Ufunuo,
farasi wa kwanza...kujua chako.
farasi wa pili ...kupata hasira.
farasi wa tatu ...kukifata chako.
farasi wa nne.............

Ole siku hiyo!!!!!!!!!

Watanzania hivi karibuni wataanza kubadili majina yao ya ukoo ili yasifanane na mafisadi(neno la kinabii).
 
na kwa hao walalahoi walionyanyaswa na mafisadi itakuwa hivi:

"Hawataona njaa tena,
wala hawataona kiu tena,
wala jua halitawapiga,
wala hari iliyo yote,

Kwa maana huyo Mwanakondoo,
aliye katikati ya kiti cha enzi,
atawachunga, naye atawaongoza
kwenye chemchem ya maji yenye uhai,
na Mungu atayafuta machozi yote
kataka macho yao"
Ufunuo wa Yohana 7:16,17

Yeye aliye na sikio, na alisikie jambo hili ambalo Roho Awaambia mafisadi!
 
Wapendwa wana JF mimi naona hiyo siku ilikwishaanza.Maana ya hii forum (ninavoelewa mimi) ni kuelimisha jamii sasa jamii imeelewa tayari na ina hasira kali!! Jamii imejua chao (kilichoibwa)imeamua kukifata Bunju kilikofichwa.
Ufunuo,
farasi wa kwanza...kujua chako.
farasi wa pili ...kupata hasira.
farasi wa tatu ...kukifata chako.
farasi wa nne.............

Ole siku hiyo!!!!!!!!!

Watanzania hivi karibuni wataanza kubadili majina yao ya ukoo ili yasifanane na mafisadi(neno la kinabii).

Na wale wasioweza kubadili majina yao watakimbilia nje ya nchi ili kujificha. Na huko ndiko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
 
Nafikiri tulishachangia hapa kuweko kwa maandamano hayo hapa nchini tarehe 5/2/08. Tusiyumbe yumbe na kumumunya mumunya maneno. kwani tunaposa nani? ..Lets do it!! Hili linalojadiliwa hapa liwe ni ukamilisho la hilo lililotangulia.
Nafikiri Mimi Binafsi maandamano haya yatanikumbusha sana yale niliyoshiriki Mwaka 1967 tukiwa bega kwa bega na Baba wa Taifa...Atarehemeka sana huko alipo..Eee Mwenyezi Mungu Uimulike Roho yake kwa Mwanga na Neema ya milele!
 
siku hiyo watu watamfahamu MWANAKIJI kwa jina,
siku hiyo ndio utakuwa mwisho wa wizi wa kura..siku hiyo ndio itakuwa mwanzo wa AMANI na maisha bora..siku hii ndio nayoitamani
 
Dunia nzima watajua kumekucha Tanzania!

Ninaona jinsi watanzania kutoka kila pande za dunia watakavyomiminika kuja Tanzania na kuungana na Watanzania walio ndani ya nchi wanaoitakia mema nchi yao Tanzania.

Siku hiyo kutakuwa na wingu nene lililojaa utukufu wa Mungu likimgusa kila aliyeko barabarani kwa maandamano akinena kwa ujasiri yale yote ambayo yamekwamisha maendeleo ya nchi hii. Watu watanena kwa lugha za maeneo yao wakiwahadaa mafisadi, walarushwa, wezi na itakuwa ni siku ya kusaga meno kwa hao wanaocheka leo.

Hiyo siku na inakuja, na si mbali sana

Ndipo hapo watoto watawakana baba zao wakisema sikuwa mimi niliyekuwa fisadi, bali ni baba na mama! na mama naye atamkana mumewe akisema ni mume wangu tu aliyekula. Eee baba laiti unjejua hizo nyumba ndogo ulizo nazo huko sinza zitakukana siku hiyo ungeamua kuacha kuanzia sasa.

Siku hiyo ndiyo itakuwa ya mwisho kwa viongozi wachafu kulaghai wananchi na kuwakebehi. Roho wa Mungu atapita kila pande ya Tanzania akiwaamsha na kusema amkeni na mmeteseka vya kutosha mkaenende katika panda mkiimba nyimbo za ushindi kwa wenye haki kuinuliwa.

Natamani siku hiyo inikute nikiwa hai

Wana Jambo Forum watakuwa mbele wakitimiza maandiko elfu elfu yaliyo ktk forum hii. Waishio nje ya nchi hawatahesabu gharama za kuja Tanzania na hata hasara yoyote watayopata ikiwa ni pamoja na kuacha kazi zao nzuri ila watahesabu faida kubwa itayopatikana baada ya maandamano hayo makubwa ambayo hayakuwahi kutokea hapo kwanza.

Siku hiyo haki itapatikana, na maendeleo ya kweli yataanza kuonekana.

Roho wa Mungu atatanda kila kona ya nchi akileta hofu kwa mafisadi wote na kulazimika wengine kuzikimbia mali zao maana siku hiyo itakuwa ni yenye kishindo kikuu. Watoto kwa wazee, wanaume kwa wanawake, wasomi na kwa wasiosoma watashika matawi ya mti ule wa haki wakinena kwa lugha wanayoijua ni wenye haki tu! na mafisadi wakisikia sauti na wasijue wanaongea nini.

Mfadhili mkuu wa maandamano hayo atakuwa ni Roho wa Mungu.

Mwenye masikio na asikie na akae tayari kwalo

UY
5b2e8667.gif
 
Ni kawaida ya watu waliokata tamaa kabisa kuanza kuishi kwa ndoto kama hizo za alinacha.mtangoja mpaka mtazeeka na wajukuu zenu watasahau utabiri wenu bd CCM itakuwa imeshika hatamu
 
Back
Top Bottom