Recent content by Amanyisye

  1. A

    Vipi maandamano ya Nzega?

    inakuwaje mnaandamana wakati madini yashaisha?sio usanii kweli huo?
  2. A

    Best paying company in tanzania

    Kawaida migodini kama uko siriasi na kutafuta hela ni kufanyakazi miaka miwili then unaacha,ni mahala hatari zaidi kimaisha kuanzia kazini mpaka kijijini wanapoishi wafanyakazi.
  3. A

    Mercedes Benz 102 engine inatafutwa.

    cheki pale mivinjeni kwa mafundi wa benzi utapata.
  4. A

    Freeman Mbowe na Mr.II Sugu wafanya kweli Iringa!

    rais kibaki wa kenya ni rais wa kwanza afrika muhitimu wa chuo kikuu lakini angalia upupu alioufanya kung'ang'ania madaraka,Daudi Balali alifaulu vizuri sana but cheki madudu yake,haijalishi ulipata nini shule,whats matter ni kuwa umeachieve nini baada ya hapo.
  5. A

    DC wa JK na CCM kayafanya haya hadharani

    <br /> <br />Bakwata wanamtetea Dc wa Igunga kwa sababu alivuliwa hijab.
  6. A

    Lundenga wa Miss Tanzania awaomba radhi watanzania

    kusema kumbi za starehe zilikuwa zinapiga muziki na Tff waliendelea na mechi sio kuomba msamaha huko,nyie mnataka kutumika,mmekubali kuwa mbuzi wa kafara on behalf of vodacom!hatudanganyiki.
  7. A

    Watu wamechoka na chaguo la Mungu?

    walikuwa sahihi! Ni chaguo la mungu kutuonyesha yule tunaemshabikia sana kumuona yukojeili tusirudie tena.
  8. A

    Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

    katika kipindi cha tuongee jambo Tanzania cha TBC leo asubuhi Wasira amejaa kasira sijui kwa sababu gani hasa,au sababu alishindwa kujibu hoja za mh mbowe!
  9. A

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    nimeishuhudia ajali hii,canter ilikuwa inaovateki gari ikashindwa kumaliza,mbele ilikuwa inakuja scania wakakutana macho kwa uso,
  10. A

    Langa: Madawa ya kulevya ni kama mwalimu mkuu

    tumsapoti kwa uamuzi mgumu,wangapi wamejaribu kuacha na wameshindwa?
  11. A

    GE2010 Majibu ya Chadema baada ya Uchaguzi wa Igunga

    inaonekana mshachakachua kabla hata hamjaenda kwenye uchaguzi!
  12. A

    Bungeni: Magufuli azichambua barabara Tanzania kama karanga

    ni kichwa kulinganisha na magamba wengine lakini pale alikuwa anapiga porojo tu,yaani mtu yoyote anayeweza kuongea na kuchomekea utani watu wakacheka mwisho wa siku watu watasahau kama hakuongea point.
  13. A

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    hii ni mbinu mpya ya watawala kuwatisha wapinzani,lakini kama ipo ipo tu.
  14. A

    Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    wimbo wa kijinga sana kupata kutokea,sijui kwa nini umeukumbuka,hivi kweli mtu uliyelelewa kwenye maadili unaweza kutunga au kuimba wimbo kama huo?
  15. A

    Kukamatwa kwa Sugu Mbeya; Mwendelezo wa mikenge waliyoingia CHADEMA 2010...

    Nugu Mdau jaribu kutumia uwezo wako kidogo tu kujaribu kuelewa logic ya kile anachoongelea mheshimiwa mbunge wa Mgeya mjini mr Mbilinyi,ni kuhusu biashara ya sanaa kuhodhiwa na kikundi fulani cha watu ambao wanajipangia wamsapoti nani na kumlipa nini,sasa yeye anajaribu kuchochea jitihada za...
Back
Top Bottom