kaka mimi ni mwalimu pia, kiukweli haturidhishwi na maslahi tunayopata kwenye hii kazi yetu, lakini sasa ndugu yangu unataka twende wapi?mkuu wewe ni mwalimu? nikweli wanalipa hivyo, ninyi si mmeridhika na malipo duni
serikali kwasasa nikama imepumzika kuajiri mkuu, hasa hii sekta ya ICTtafuta ajira serikalini
msharaha laki saba
posho milioni nne
safari wka siku (nje) dollar 600 na ndani 120,000
kodi less than 20%
it doesnt get any better
serikali kwasasa nikama imepumzika kuajiri mkuu, hasa hii sekta ya ICT
shukrani kwa ushauri mzuri mkuu, acha niendelee kuchanga karatakamanda
tuna tatizo kubwa sana kwenye ajira, na expectations za graduate
vijana graduates wanategemea kuanza kazi kama mabosi, kwasababu ni graduates, na ajira hakuna... ushauri wangu, many private employers need qualified staffs, ila waoga kuajiri mojakwamoja kutokana na tabia za new graduates kwahiyo wanaajiri za wa certificates na diploma kwani wao huwa kweli wanataka sana kazi kuliko chochote
pambana hata kama ni kwa kuanzia chini
shukrani kwa ushauri mzuri mkuu, acha niendelee kuchanga karata
umesomeka vyema mkuu wa kikosisiri kubwa ya wewe kupata kazi ni kutumia ndugu jamaa na marafiki... magazeti yanasaidia lakini success rate ni less than 20%
pambana na ndugu na jamaa wakuungieshe hata kwa kuanza kama volunteers
unajua tz tunasumbuliwa sana na watu mambumbumbu kama wewe, yaani wa aina yako na wengine waliochallenge hii kitu. cha ajabu ni kwamba, mimi naongea kitu halisi, nimekuwepo tulawaka, Bulyanhulu na Buzwagi kwa muda mrefu. siongei kitu nilichokisikia kwenye magazeti au kwa wanasiasa. hatuhitaji kubishana hapa, ongea kuhusu uzoefu wako usiongee kutoamini ambacho wengine wamesema wakati wewe huna data halisi au utafiti au hujafanya kazo huko kabisa. watz wengi wa aina yako hata shule huwa wanakuwa wameenda kutomea kubishana, hata kitu cha kweli atabishana, hata kitu asichokijua atabishana matokeo yake atajikuta hajui kitu kwasababu haamini kila kitu. pole samaki pole!Majibu uliyoyatoa umeyafanyia analysis ya kutosha kama GT au umekurupuka? Kwa uelewa wangu kuhusu hayo makampuni uloyataja yanaweza kuwa katika level ya kati ya makampuni yanayolipa zaidi. usiangalie mishahara ya mtu mmojammoja kwa kuangalia majukumu na nafasi yake, usiangalie mambo wanayofanya wanapokuwa likizo, kuna mambo mengi yamefichika nyuma usoyajua!! Na hiyo likizo ya 3 kwa 2 sijui umeitoa wapi!! Jumuiya ya ma Human Resource wa tanzania wana majibu mazuri kuhusu mishahara
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
Na hapo hyo jamaa alikuwa anaitwa Human Resources Superintendent, kwa hyo alikuwa sio mtu mdogo.Umemdanganya, unao ushahidi, maana sio kusema, mie kuna mtu ninamfahamu alikuwa Barrick alikuwa analipwa si zaidi ya 2.5 take home, na kwamba wanafanya kazi wiki 6 wanapumzika wiki 3, endelea kumsaidia, hujamsaidia bado
inawezekana mimi sijaelewa, asante kwa kunielewesha, lakini naomba niambie, kwa kichwa cha habari cha mtoa mada, ukisikia mtu anasema '" BEST PAYING COMPANY" utaelewa kama amesema mashirika ya umma? mimi sikusoma alichoandika chini, hapa nina kazi zangu nyingi hivyo nilisoma tu kichwa cha habari. best paying company which includes private and public companies au government corporations. nafikiri wewe uelewa wako ndio kidogo unazingua. hebu jamani nisaidieni alichosahihisha huyu jamaa anayejiita mwenye akili.
kuhusu mishahara yao hao jamaa, actually yawezekana yapo makampuni yanayolipa zaidi ya hao, lakini kwa figure hiyo niliyoweka ni sahihi, nina uhakika nayo na hata hivi sana niko huko huko. asanteni.
My Question is so why Do barrick wanatangaza nafasi za kazi kila kukicha?
Au ndio maisha ya camp boring kwa stuff?
Being far from family and friends?
Huwa sielewagi why maana people left sana pale...
Labda hapa ntapata majibu. (Any help)?