Langa: Madawa ya kulevya ni kama mwalimu mkuu

Mbushuu

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
2,172
3,392
Msanii maarufu wa bongoflaviour Langa Kileo "Langa" ameyafananisha madawa haramu ya kulevya kuwa ni kama mwalimu mkuu kwani hukufundsha kila k2 ktk maisha.Langa ameyasema hayo ktk kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds fm.Langa ameelezea mengi zikiwemo sababu zilizomfanya a2mie madawa hayo haramu ila kwa sasa amekiri kuwa ameacha kutumia.Naomba kuwasilisha
 
mhh mpaka nimesisimkwa japo ni kipindi kifupi sana tangu ameacha,ila nna imani amejikomboa!!!
 
Sikubaliani na upumbavu wa huyo kijana mjinga!
Hatakiwi kufananisha mwalimu mkuu na madawa ya kulevya, ni upunguani uliobobea huu!
Anyway, labda ndiyo upeo wake!
 
Sikubaliani na upumbavu wa huyo kijana mjinga!
Hatakiwi kufananisha mwalimu mkuu na madawa ya kulevya, ni upunguani uliobobea huu!
Anyway, labda ndiyo upeo wake!
upeo wa madawa huo ndo unamsukuma aseme hivyo
 
I heard ameacha madawa kama amerudia tena anatafuta kufa na huyo anayemuita "mwalimu wake mkuu"!
 
mshukuru mungu wako vijana wengi sana inawashinda kuacha madawa jichunge usije kurejea tena huko ulikokuwa
Msanii maarufu wa bongoflaviour Langa Kileo "Langa" ameyafananisha madawa haramu ya kulevya kuwa ni kama mwalimu mkuu kwani hukufundsha kila k2 ktk maisha.Langa ameyasema hayo ktk kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds fm.Langa ameelezea mengi zikiwemo sababu zilizomfanya a2mie madawa hayo haramu ila kwa sasa amekiri kuwa ameacha kutumia.Naomba kuwasilisha
 
Nimesikitika sana niliposikia about langa nimesoma naye same school loyola before going to uganda, he was one of the intelligent student in the class i dont know what went wrong ila mi nahisi malezi yanachangia sana wazazi siku hizi mnatoa uhuru sana kwa watoto this is the shame, mnaharibu future nzuri za watoto wenu bila kujua, kuwapa watoto magari na kuwaruhusu kutoka nje hadi usiku haioneshi upendo ni ulimbukenii
 
Hongera kwa kuacha langa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom