Recent content by al-karim

  1. A

    A.K.U arusha yavamiwa, yachomwa moto!

    Wenyeji wavamia shamba la Aga Khan University aka A.K.U (zamani Manyara Estate, Kisongo) na kuwasha moto MKUBWAA. Wakazi wa jirani wanadai kuwa uvamizi huo ni kwasababu ya kunyimwa eneo la kulishia mifugo yao ndani ya shamba hilo. Habari zingine ntaziupdate kesho!!
  2. A

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Mh.Dr.Kikwete anasemaje kuhusu hili jambo?kuna habari yeyote ametamka?
  3. A

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    mmmhh!saaafi saaaana!!mi najitayarisha kufanya mitiani ya masters kwa kutumia mishumaa!afadhali umekatika taifa ikiwa inawaangalia..kama hamna hata mmoja atakuwa amesikia aibu kwa kitendo hicho..itakuwa ni noma..
  4. A

    Ufisadi katika uongozi wa wanafunzi vyuoni,nini kifanyike?

    Uongozi wa wanafunzi vyuoni 'kupoteza kiaina' fedha iliyokusanywa na wanafunzi ili kukidhi mahitaji yao kwa kipindi waliokuwa vyuoni bila wanafunzi wenyewe kujua imetumikaje,NA statements zikionyesha wazi kabisa kwamba fedha hizo 'zimeliwa kiujanja',je hatua gani zinatakiwa zichukuliwe kisheria?
  5. A

    Tujikumbushie MOVIES za zamani za KIZUNGU!

    yalikuepo Metropole na elite cinema,Arusha!!
  6. A

    Best gang movies must see

    Jane Austen's Mafia!!nilipata kuiona mara moja tu mnet,nimejaribu kuitafuta siipati.naomba alienayo aeke link!
  7. A

    Beatification of Lowassa starts here

    tumieni muda wenu kumuangalia dr.slaa,channel 10!!
  8. A

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    ahsante ch.10,tbc fwateni mwenzenu anavyofanya!
  9. A

    Nitaendelea kupinga kitendo cha TBC1 kinachoendelea kufanywa

    pessimists while they are being unfair?!national tv should never be biased!think before u write! Au kwajili ni 'yakwenu' ndo maana mnafanya hivo?
  10. A

    Geor Davie ni nani?

    kuna siku nilikuwa maeneo ya shopryt arusha..sikuamini nilichokiona mbele ya macho yangu..kwanza nilivyoskia huo mziki nkadhani ni matangazo ya triple 'a' club kwenye fuso lao la matangazo.la hasha,lilikuwa ni promotion fuso ya mzee davi,likiwa na mabinti kama wanne hivi wamevishwa vi skintyt...
  11. A

    Barrick wanajidai kuendesha sera za kodi na uwekezaji za Tanzania

    Ahsante kwa kutupa mwanga kuhusu utendaji wa ABG. ningependa kujua yafuatayo: 1.annual amount of extraction ya financial year 2010-11 2.quantity of exportation and its value, 3.TAX RATE wanayotozwa na serikali. 4.Selling price huko nje.
  12. A

    Ndege hazitui Tabora wabunge mnafanya nini?

    kwa hali hii,hatuna haki ya kulalamika kama kenya wakijenga hiyo airport karibu na border yetu..si wanatusaidia kuunganisha usafiri bana!
  13. A

    Taarifa ya hali ya Rushwa nchini inahitajika

    wanaJF,mnahabari yeyote kuhusu hatua zinazochukuliwa na china kuhusu mtu kutuhumiwa kwa rushwa? Sheria nyingi hutungwa kwa kuchukua sheria zilizowekwa nchi zingine,mi naona haitakuwa mbaya hiyo china ikawekewa maanani na kujumlishwa ndani za sheria zetu.
  14. A

    The United Kingdom Bribery Act 2010; Corrupt officials safe haven likely to crack including TZ

    Atleast some action is being taken..i can finally feel the hope that when i come to enter the real business world,people will be afraid to be involved in corruption..i think it'll be nice if the rest of the world superpowers to take such measures too.. i'm hoping to hear some really good news...
  15. A

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Marehemu mama alinihadithia kwamba alifanya mtihani wake wa form 4 kwa kutumia mshumaa..leo hii,niko chuo,2011,nina mitihani ndan ya mwezi,niko nasoma na mshumaa..inaezekana hata watoto wangu wakaja soma na mshumaa miaka 20 zijazo..haaya bana..
Back
Top Bottom