A.K.U arusha yavamiwa, yachomwa moto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A.K.U arusha yavamiwa, yachomwa moto!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by al-karim, Aug 29, 2011.

 1. a

  al-karim Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenyeji wavamia shamba la Aga Khan University aka A.K.U (zamani Manyara Estate, Kisongo) na kuwasha moto MKUBWAA. Wakazi wa jirani wanadai kuwa uvamizi huo ni kwasababu ya kunyimwa eneo la kulishia mifugo yao ndani ya shamba hilo. Habari zingine ntaziupdate kesho!!
   
Loading...