Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Jamani ehh uchaguzi si ulishapita, sasa propaganda za nini? Nyie subirini 2015 mlambwe mtama kwa mara nyingine.
 
Dr slaa anaongea kwenye kipindi cha hamza kasongo hours anaichambua na kufafanua maana ya bajeti na namna ya kutekeleza bajeti
 
Hapa symbion wameshafanya mambo ya ndugu yao Dowans, na kaka yao Tanesco
 
Ingependeza kama sisiemu hasa mkuuulo! wangeangalia hata kwa kujiiba, au wakiwa wamefumba macho ila tu wasikie sauti ya mtu makini, wangepata ukweli wa mambo..Safi ch. 10
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom