Geor Davie ni nani?

kuna siku nilikuwa maeneo ya shopryt arusha..sikuamini nilichokiona mbele ya macho yangu..kwanza nilivyoskia huo mziki nkadhani ni matangazo ya triple 'a' club kwenye fuso lao la matangazo.la hasha,lilikuwa ni promotion fuso ya mzee davi,likiwa na mabinti kama wanne hivi wamevishwa vi skintyt nyeusi (piga picha twanga pepeta),wakikata viuno..wakitangaza mkutano utakaofanyika wiki hiyo..
Kweli lilinifanya nkageuza kichwa na kuwaangalia..
 
Nabii GeorDavie ni mtumishi wa Mungu na huduma yake ipo Arusha Kisongo na ni Kilomita 13 kutoka mjini Arusha njia ya kwenda Dodoma na ni baada ya uwanja wa ndege tu. Huduma yake inaitwa "Ngurumo Ya Upako" na ni kati ya watumishi wa Mungu ambao wana Upako wa kipekee amabo umekuwa gumzo kwa watu wengi. Mungu ana njia nyingi sana ya kujidhihirisha kwa wanadamu na kama wakati wa zamani za kale aliwatumia watu mbali mbali kwa namna tofauti na hivyo hivyo kwa Nabii GeorDavie.
 
Prophet GeorDavie is a Man of God and his ministry is located at Kisongo Arusha and is 13 km from the town of Arusha through Dodoma road and is going after the Arusha airport. His ministry is called "Ngurumo Ya Upako" or "Advanced Annointing" and is among the Men of God who have a unique anointing which become chat for many people. God has a lot of ways to manifest to mankind and as the time of ancient people used them in various different ways and so Prophet GeorDavie is used with God to present " God Government Kingdom"
 
Sawa sawa si mke wa yule kijana mtoto wa yule mzee wa kiarusha anayekaa kibanda maziwa sakina. Pia hata watoto wake ambao huwatumia kwenye huduma mh! Hawana ushuhuda kabisa kuna yule mkubwa Niki a.k.a Nisher kulikuwa na post yake ktk jamii photos ka usher wa bongo. Hivi kuhusu wasaidizi wake waliohama na watu na kwenda kufungua huduma zao vp? Kuna mmoja anaitwa Channel yuko kisongo mbele ya Ngurumo kidogo mwezi wa 12 nilikuwa kansani kwake ktk mahubiri yake alidai kuna majambazi na wachawi toka Ngurumo ya Upako walitaka kumuua duh! Dini bana siku hizi ka siasa. Tumwachie Mungu tu, ila tutawatambua kwa matunda yao
<br />
<br />kweli ndugu,jamaa aliyevunjiwa ndoa ni ndugu yangu kabisa na mkewe anaitwa pamela.geo davie anaiishi nae km wake vile.huwa najiuliza,ni mtumishi gani wa mungu anaefanya mambo ya ivi wakati anajua huyu mwanamke ana mume tena wa ndoa na watoto watatu?mpaka leo sijapata jibu
 
inaonekana we ni ndugu yangu hatujuani. aliye vunjiwawa ndoa ni ndugu yangu sakina kibanda maziwa,saiv jama yetu ana mke mchungaji from kenya au sio mwanangu

Kitu kinachonishangaza ni vile watumishi wa Mungu wanasakamwa kila kona! Ni kama watu wote walioandika wana uadui na huyu mtu! Ina maana huyu jamaa hajawahi kufanya jema hata moja! Ni kama yeye kuwa Mtumishi wa Mungu kimekera sana watu. Yeye ni mwanadamu tu kwani yeye ni Mungu! Watumishi wote, Mungu anawatumia kama punda au lorry! hivyo yeye kuanguka au kusimama hakuwahusu! Ikiwa anamwakilisha Mungu, wagonjwa wanapona, Mapepo yanatimuka, wachawi wanatupa vibuyu, watu wanafanikiwa na Mungu anainuliwa shida iko wapi! Msimwangalie mtumishi mwangalieni Mungu! Shida watu hawaamini kama Mungu anaponya wamezoea waganga hivyo wamemweka Mungu chini na kumwinua shetani. Hivi shetani anaponya? Mapepo yangekimbia? wachawi wangejisalimisha? kwa kweli mimi ninatamani kumwona huyu jamaa kama kwa Jina la Yesu mambo makuu yanatokea huyu ndio mganga ninayemtaka kwani hakuna mganga kama Yesu Kristo. Nimemfuatilia sana huyu mtu ndio maana nimeandika yote haya! Mengi mliyoandika ni uongo mtupu, mpaka jina lake, ametokea wapi, cheo chake, mambo anayoyafanya, hilo limenihakikishia wengi hawamjui na wengi hapa ni maadui wanachafua kazi anayoifanya. Tangu lini adui yako akakusifia! au akakusema vizuri! Kama haumwamini achana naye! Acha wale wanaoamini wakamwabudu Mungu na kupokea miujiza yao. Kweli wivu ni mbaya mlitaka awagawie hizo sadaka? Jamani Mungu akimwinua mtu kubalini!!! Mnafikiri Mungu amelala haoni yeye??? angeacha watu wote wapotee?? tena kwa taarifa yenu lol! watu wamejaa full j2 nilienda kuchungulia na ndio kwanza wanazidi kwenda!!! Hawa watumishi wanaojiona wema na wananguvu za Mungu si waombe ache basi! Mwacheni komandoo wa Yesu apige kazi kama mmeshindwa kuruka kwa ungo mseme!!
 
Wajameni Mimi ninamfahamu Nabii GeorDavie vilivyo! Mimi ni mtumishi ninayempenda Yesu kupita maelezo na nimekombolewa kwa damu ya YESU!! Ninataka niwatoe duku duku zenu. Maswali yote niulizeni nitawajibu moja baada ya lingine! Ila kwa wale wenye chuki binafsi, wivu na waongo na wale wanaoamini shetani ana nguvu kuliko Mungu nisingependa kupoteza muda! Ila wale wanaohitaji kweli kufahamu kwa kina kuhusu Mhe. Nabii GeorDavie niko tayari kuwaelezeni! Ninakaribisha maswali yenu. Imenishangaza sana jinsi mwanadamu anavyoweza kutunga uongo kisa tu ameona tunguri zake zikishindwa kufanya kazi. Wanadamu maisha haya yanapita tujipange sawasawa!
 
Mhe. Nabii GeorDavie ni mtumishi wa Mungu. Anaijua kazi yake, anajiamini, ni shujaa, anajitambua na anaielewa kazi yake. Anamwakilisha Mungu ipasavyo. Anamwelewa boss wake vizuri na hana mashaka naye. Hajali maneno wala haogopi vita kwa kuwa anamwelewa Mungu aliyemwita na kumtuma. Kama tujuavyo shetani ni mpinzani wetu hivyo kurusha makombora ni kitu cha kawaida.

Maelfu ya watu yameshuhudia matendo makuu ya Mungu. Mara nyingi shuhuda zimekuwa zikiwekwa kwenye Radio ya ya Ngurumo FM Hata hao wakina Channel na watumishi wote waliokengeuka kwa sababu zao wanazojizua walishuhudia, tena walikuwa hawamjui Mungu lakini wamefungua makanisa. Ikiwa wanakufuru matukufu ya Mungu na kusema ni Nguvu za giza je wao wanatumia nini na wamejifunzia pale.

Tena channel alishuhudia na kusema upako huu ni mtaji kwangu! Wivu ni wa nini watu wa Mungu??? Mara ooh kuna mwanamke Alifunga macho na alipofungua akaona nyoka mara akafa.... Inaingia akilini??? Tunaomba kumjua huyo mwanamke ayelikufa na ushahidi....ni uongo wa ibilisi jamani nendeni mkajionee matukufu ya Mungu...shetani anaharibu kazi ya Mungu lakini ameshindwa.... Kazi ya Mungu inasonga mbele!!!

Mnashangaa misafara na magari ya kifahari, Mungu ni tajiri atumie hata ndege za angani kumtukuza Mungu!!! Eti anaitwa mheshimiwa sasa kama mafisadi wanaitwa waheshimiwa vipi watumishi wa Mungu!!! Mimi ninasema GeorDavie amemwelewa Yesu na ndiye mtumishi anayemwakalisha Mungu ipasavyo. Hivi mimi kama ninatembea peku na ninakuambia Mungu ni tajiri anaweza kukusaidia kiuchumi utanielewa kweli!!! unajua mtu ajionavyo ndivyo alivyo.

Ukimwona Mungu unayemwamini hawezi kuponya, kwako kitu kama hicho kitabaki kuwa story, ukiona Mungu unayemwamini anatawala mbinguni na kumiliki duniani na mamlaka alishatupatia ndivyo itakavyokuwa kwako. Wengi hapa wamebaki kumuhukumu na kumkatisha tamaa kwa kazi anayoifanya, na kupakaza mambo ambayo hayana maana. Ila kwa muelewa inaonyesha wazi ni maadui, wivu, chuki kwani sielewi kwanini kinawauma sana.

Kama kweli mnampenda Mungu na mnamjua Mungu kwanini msimwombee mnampiga vita yeye ni mwanadamu kama wanadamu wengine. Wengi walisema anatumia nguvu za giza wakafunga na kukemea na kuharibu ikaishia GeorDavie kuinuliwa nao wakashushwa! Mwacheni Mungu aitwe Mungu! Mungu akimpenda mtu na kumchagua afanye kazi yake atamtumia mpaka atakapomaliza haijalishi chochote!

Yeye ndiye atakayemhukumu na wala sio mwanadamu! Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote kwani anaangalia utayari wa mtu alionao, Kweli GeorDavie ni shujaa katika mashujaa otherwise angekuwa mtu wa kawaida katika vita zote alizopitia angekimbia na kumwaibisha Mungu. Lakini yeye anasonga mbele akicharaza mapepo. Mungu anawapa watu karama tofauti, Na maandiko yako wazi, alisema wengine ni Manabii,
mitume, wachungaji, waalimu na wainjilist kama yeye amepewa upako wa Kinabii wivu niwa nini wanadamu??? hamna jema.

Mtumishi asipotembea na Nguvu za Mungu mnasema hajaitwa, akiwa na nguvu za Mungu mnasema anatumia nguvu za giza lipi jema kwenu! Acheni kumnyoshea mtumishi wa Mungu kidole, angekuwa hajatumwa tangu mmeanza kumpiga vita ametikisika??!! Huduma imekufa???

Kitu cha Kimungu hata upambane vipi huwezi kukiharibu! Hamtamweza Nabii huyu mpaka Mungu akamilishe kusudi lake aliloweka ndani yake. Haijalishi punda amechafuka au amelowana lazima safari aimalize na kusudi la Mungu litimie! Lakini ole wake yule ambaye hakumsaidia punda kukamilisha kusudi la Mungu kwa wanadamu! je umehusika kufanya nini?? kumchafua, kumwangusha, ulimlisha, ulimtemea mate, ulimpaka marashi?? ulishiriki vipi kuhakikisha kazi ya Mungu inasonga mbele??

Mungu kumtumia mwanadamu hamaanishi ni malaika! Shida watu hawasomi maandiko na kuelewa neno la Mungu. Nchi yetu hii inanishangaza, kazi kupinga watumishi wa Mungu na kuwaombea mabaya huku wakiwainua watumia mizizi waliojaa udanganyiifu! Nabii akiwaambia huko siko wanakimbilia hawamtaki Yesu! sasa wanaanza kulalamika ooh tulidanganywa...Tafuteni uso wa Mungu wanadamu na kumwabudu yeye pekee dunia hiini ubatili mtupu.
 
Duh hii kali naona Mtume na Nabii GeorDavie katumia staili ya Nape wote mnatetea ujinga mmejiunga tarehe 30 - 31 / 08 / 2011 mshindwe na mlegee Mtume na Nabii wenu ni mpinga kristo tena ni Nabii wa uongo na uovu.

Nabii GeorDavie ni mtumishi wa Mungu na huduma yake ipo Arusha Kisongo na ni Kilomita 13 kutoka mjini Arusha njia ya kwenda Dodoma na ni baada ya uwanja wa ndege tu. Huduma yake inaitwa "Ngurumo Ya Upako" na ni kati ya watumishi wa Mungu ambao wana Upako wa kipekee amabo umekuwa gumzo kwa watu wengi. Mungu ana njia nyingi sana ya kujidhihirisha kwa wanadamu na kama wakati wa zamani za kale aliwatumia watu mbali mbali kwa namna tofauti na hivyo hivyo kwa Nabii GeorDavie.

Kitu kinachonishangaza ni vile watumishi wa Mungu wanasakamwa kila kona! Ni kama watu wote walioandika wana uadui na huyu mtu! Ina maana huyu jamaa hajawahi kufanya jema hata moja! Ni kama yeye kuwa Mtumishi wa Mungu kimekera sana watu. Yeye ni mwanadamu tu kwani yeye ni Mungu! Watumishi wote, Mungu anawatumia kama punda au lorry! hivyo yeye kuanguka au kusimama hakuwahusu! Ikiwa anamwakilisha Mungu, wagonjwa wanapona, Mapepo yanatimuka, wachawi wanatupa vibuyu, watu wanafanikiwa na Mungu anainuliwa shida iko wapi! Msimwangalie mtumishi mwangalieni Mungu! Shida watu hawaamini kama Mungu anaponya wamezoea waganga hivyo wamemweka Mungu chini na kumwinua shetani. Hivi shetani anaponya?

Mapepo yangekimbia? wachawi wangejisalimisha? kwa kweli mimi ninatamani kumwona huyu jamaa kama kwa Jina la Yesu mambo makuu yanatokea huyu ndio mganga ninayemtaka kwani hakuna mganga kama Yesu Kristo. Nimemfuatilia sana huyu mtu ndio maana nimeandika yote haya! Mengi mliyoandika ni uongo mtupu, mpaka jina lake, ametokea wapi, cheo chake, mambo anayoyafanya, hilo limenihakikishia wengi hawamjui na wengi hapa ni maadui wanachafua kazi anayoifanya.

Tangu lini adui yako akakusifia! au akakusema vizuri! Kama haumwamini achana naye! Acha wale wanaoamini wakamwabudu Mungu na kupokea miujiza yao. Kweli wivu ni mbaya mlitaka awagawie hizo sadaka? Jamani Mungu akimwinua mtu kubalini!!! Mnafikiri Mungu amelala haoni yeye??? angeacha watu wote wapotee?? tena kwa taarifa yenu lol! watu wamejaa full j2 nilienda kuchungulia na ndio kwanza wanazidi kwenda!!! Hawa watumishi wanaojiona wema na wananguvu za Mungu si waombe ache basi! Mwacheni komandoo wa Yesu apige kazi kama mmeshindwa kuruka kwa ungo mseme!!

Wajameni Mimi ninamfahamu Nabii GeorDavie vilivyo! Mimi ni mtumishi ninayempenda Yesu kupita maelezo na nimekombolewa kwa damu ya YESU!! Ninataka niwatoe duku duku zenu. Maswali yote niulizeni nitawajibu moja baada ya lingine! Ila kwa wale wenye chuki binafsi, wivu na waongo na wale wanaoamini shetani ana nguvu kuliko Mungu nisingependa kupoteza muda!

Ila wale wanaohitaji kweli kufahamu kwa kina kuhusu Mhe. Nabii GeorDavie niko tayari kuwaelezeni! Ninakaribisha maswali yenu. Imenishangaza sana jinsi mwanadamu anavyoweza kutunga uongo kisa tu ameona tunguri zake zikishindwa kufanya kazi. Wanadamu maisha haya yanapita tujipange sawasawa!
 
Eti kuna mtu alimnyang'anya mke....Huyo anayedai alichukuliwa mke alikuwa wapi??? watu wengine wakipata wake wazuri kazi kuwapiga ovyo na kuwatesa...mwanamke ameamua kujishika kisawasawa na Mungu wake. oooh nimenyang'anywa!!! alifikiri mke ni kibega!! ulipokuwa unampiga na kumchoma moto na kumpeleka police ulifikiri ni mtumwa!!!!

Mkamate Mungu wako kisawasawa mama!!! acha waseme mpaka wafe!!! Tena huyo jamaa asipotubu cha moto atakiona manake Mungu huwa anaangalia penye haki. Hivi GeorDavie ni mtu wa kumchukua mke wa Mtu??? kwa taarifa yake hakunyang'anywa na GeorDavie alinyang'anywa na Mungu...ajifunze jinsi ya kumtunza mwanamke, kumhudumia na kumpenda kwa dhati, Haoni hata aibu??!!! Mwanamke ni almas baba! sifa ya mwanamke ni abembelezwe!!

Kama ameshajifunza vya kutosha amwombe Mungu amrudishie mke wake. Watu wanaongea na kumsema mtu wa Mungu vibaya wakati hawajui ukweli uko wapi! Kwa hiyo alikuwa anampiga akifikiri kwa kuwa anamjua Mungu ataacha kuondoka au ataacha kusali. Tena ninamshauri huyo mwanamke asije akaondoka kwenye hiyo huduma hata angemrudia huyo mume!

Mkamate Yesu mama wa Upako!!! Simama Imara, kishujaa maneno yasikurudishi nyuma. walitaka wakukute kwenye nyumba ya mganga wa kienyeji. Sugua goti mama sijawahi kumwona aliyemkimbilia Mungu akiaibika!
 
inaonekana we ni ndugu yangu hatujuani. aliye vunjiwawa ndoa ni ndugu yangu sakina kibanda maziwa,saiv jama yetu ana mke mchungaji from kenya au sio mwanangu
<br />
<br />
kabisaaa,hujakosea.ila jamaa ni kama alidata vile.huyu mtumishi alimfanyia jambo baya sana.mke kawakimbia watoto wadogo vile?mungu atamlipia lakini.ntakupm inawezekana we ni ndugu yangu kabisa.
 
naona jamaa ameamua kutuma jeshi la kumtetea,wapi imeandikwa mume akikupiga ukimbilie ukalale na mtumishi wa mungu aka nabii na mtume na uhamie kabisa kwake?utelekeze na watoto?hiyo ni roho au unyama?hata biblia inasema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE,nyie mnaotetea huu uchafu MUNGU anawaona.huu unafiki wa kilokole ndo nisioupenda,bora nibaki na biblia yangu niisome ndani kwangu nimwombe mungu wangu kuliko kujifanya mtu wa maombi na kulia mbele za watu kumbe unafiki mtupu.only GOD will judge me.
 
Duh hii kali naona Mtume na Nabii GeorDavie katumia staili ya Nape wote mnatetea ujinga mmejiunga tarehe 30 - 31 / 08 / 2011 mshindwe na mlegee Mtume na Nabii wenu ni mpinga kristo tena ni Nabii wa uongo na uovu.

Mkuu mimi huyu Nabii simfahamu lakini jinsi watu/jeshi linavyokuja kum-defend huku napata wasiwasi yaliyosema ni kweli. Watumishi wa Mungu hawahitaji maneno mengi/binadamu approval kuonyesha kama kweli wanafanya kazi ya Mungu. Imeandikwa mtawatambua kwa matendo yao. So ni kazi yakila mmoja kufuatilia matendo ya hawa watu kama kweli yanafanana na yale ya maandiko. Kama wamesingiziwa kwa njia moja au nyingine; God will fight for them (tunaambiwa maadui wataingia kwa njia moja lakini watasambaratishwa kwa njia saba). Sasa haya yote yakujiunga kwajili yakumtetea mtu yananipa wasiwasi. Kama kweli ni mtumishi wa Mungu hahitaji "world approval" unless he has something to hide. Halafu sijui kwanini wanamwita Mheshimiwa??? Binadamu tuwe waangalifu sana pale tunapotoa utukufu au kumuabudu mtu e.g. kushika viatu au kumwinamia kama vile yeye ndio mwokozi mwenyewe. Ukishasema mtumishi wa Mungu that means haustahili utukufu maana wewe umetumwa tu. Sidhani kama ni sahihi kupeana utukufu kwenye kazi ya Mungu. Sifa na utukufu tunampa mmoja tu ! Jamani shika sana ulichonacho usije ukanyang'anywa na hapa nina maana shikilia sana imani yako usitange tange. Watu wa Mungu wanapotea kwakukosa maarifa. Sometimes desperation zinaweza kutufanya tuangukie kusiko, ni muhimu kujiuliza maswali pale unapoona something does not make sense.
 
Watanzania wamekata tamaa na maisha thus why wakiambiwa uokovu huko huko wanakimbilia tu hii inatokana na ugumu wa maisha,ajira hakuna,maisha bora kwa kila mtanzania yamekuwa magazetini,gap kati ya matajiri na masikini ni kubwa,ndio maana watu wanajitafutia njia ya kupata riziki ukiondoa mpira,kucheza filamu na music ajira nyingine pekee iliyobaki ni kuanzisha kanisa,tumuombe mungu awaoneshe watu haki na batili yupi nabii wa ukweli na wa uongo,mungu ibariki tanzania
 
Eti kuna mtu alimnyang'anya mke....Huyo anayedai alichukuliwa mke alikuwa wapi??? watu wengine wakipata wake wazuri kazi kuwapiga ovyo na kuwatesa...mwanamke ameamua kujishika kisawasawa na Mungu wake. oooh nimenyang'anywa!!! alifikiri mke ni kibega!! ulipokuwa unampiga na kumchoma moto na kumpeleka police ulifikiri ni mtumwa!!!!

Mkamate Mungu wako kisawasawa mama!!! acha waseme mpaka wafe!!! Tena huyo jamaa asipotubu cha moto atakiona manake Mungu huwa anaangalia penye haki. Hivi GeorDavie ni mtu wa kumchukua mke wa Mtu??? kwa taarifa yake hakunyang'anywa na GeorDavie alinyang'anywa na Mungu...ajifunze jinsi ya kumtunza mwanamke, kumhudumia na kumpenda kwa dhati, Haoni hata aibu??!!! Mwanamke ni almas baba! sifa ya mwanamke ni abembelezwe!!

Kama ameshajifunza vya kutosha amwombe Mungu amrudishie mke wake. Watu wanaongea na kumsema mtu wa Mungu vibaya wakati hawajui ukweli uko wapi! Kwa hiyo alikuwa anampiga akifikiri kwa kuwa anamjua Mungu ataacha kuondoka au ataacha kusali. Tena ninamshauri huyo mwanamke asije akaondoka kwenye hiyo huduma hata angemrudia huyo mume!

Mkamate Yesu mama wa Upako!!! Simama Imara, kishujaa maneno yasikurudishi nyuma. walitaka wakukute kwenye nyumba ya mganga wa kienyeji. Sugua goti mama sijawahi kumwona aliyemkimbilia Mungu akiaibika!

Kumbe hii kitu ni kweli. Je huyo mama alichukua watoto au aliwaacha? Je Geor Davie yeye alikuwa hajaoa wakati huo? Je tunaambiwaje kuhusu mtu akikutenda mabaya? Huyo mama alikuwa anajaribu kufanya jino kwa jino au ni nini hasa? Kama mtu anateswa na mume wake mimi pia sishauri aendelee kuteseka lakini nashauri katika plan zote atakazofanya ahakikishe interest/safety za watoto wake kwanza. Napia sishauri kukimbilia kwenye ndoa ya mtu mwingine regarless ya uimara wa hiyo ndoa unayoenda kuiingilia. Anyways sijui what happened kwenye hii issue lakini wakati wote tukumbuke malipo ni hapa hapa duniani (ukristo ni mgumu sana kuliko tunavyodhania) e.g. tunaambiwa wapendeni adui na waombeeni wanaowaudhi.
 
Back
Top Bottom