Taarifa ya hali ya Rushwa nchini inahitajika

Rwiai

Member
Jul 17, 2009
45
4
Ndugu wanaJF, naomba mwenye taarifa ya hali ya rushwa nchini aiweke hapa ili wananchi tuweze kuisoma na kuelewa kilichomo katika taarifa hiyo!
 
records speaks its self...ndio inaongoza kuliko kitu chochote ukijuacho...imeshika bingo...
 
Ningependa kama Ungetaka tukupe situations za Rushwa tulizo kutana nazo.

1. Kutoa mzigo bandarini bila Rushwa imekula kwako. Gari lazima wata uplift, Upande wa makontena kuna wafanyakazi wa Customs TRA side wamepata utajiri wa kutisha in a very short time!!

2. Traffic akikusimamisha toa mkono nje ukiwa umeukunja, weka kiasi chochote cha pesa, atakuja ataangalia ndani ya gari lako kama akina Jerry Muro hawamo anapokea Chake then hakuna storry.

3. Tax Audit, Ni balaa tupu

4. Auditing za Halmashauri, Lazima mhusika akimaliza kazi anaondoka na Kibahasha cha Kaki.

5. Ukiwa na Tshs 80,000. unapewa Driving Licence hata kama hujawahi kuona gari katika maisha yako yote.

6. Katika vyuo vingi sasa hivi kuna ma Lecturer mabrazameni, Mademu Kupewa mitihani sio kitu kigeni tena.

7. Ukitaka Tenda yoyote serikalini, Lazima uhonge karibu nusu ya Faida utakayopata.

8. Ukitaka kuunganishiwa umeme nyumbani kwako, Bila rushwa labda wajukuu ndio watakuja kufaidi huo umeme.

9. Ukitaka Insurance wakulipe bila usumbufu lazima utoe kitu kidogo.

10. ........... so Embarrassing!!!!!
 
101.....Ukipeleka mtuhumiwa wako polisi lazima utoe kitu kidogo

102......

103.....

110. Ukitaka kupata viwanja wa serikali lazima utoe hongo zaidi ya pesa utakayonunulia

111. Ukitaka mgonjwa wako atibiwe haraka lazima utoe kitu kidogo
......

.......

201...Hata fundi wa nguo ukitaka akushonee haraka mpe advance ya uhakika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
112. ukitaka upatiwe maji na dawasko lazima umwage michuzi ya kuelewa!
 
223...ukitaka mchumba lazima umtoe outing sana......

224...ukitaka kupigiwa kula honga wananchi.....haya yote yananiuma ww acha tu.
 
wanaJF,mnahabari yeyote kuhusu hatua zinazochukuliwa na china kuhusu mtu kutuhumiwa kwa rushwa?
Sheria nyingi hutungwa kwa kuchukua sheria zilizowekwa nchi zingine,mi naona haitakuwa mbaya hiyo china ikawekewa maanani na kujumlishwa ndani za sheria zetu.
 
Back
Top Bottom