Ufisadi katika uongozi wa wanafunzi vyuoni,nini kifanyike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi katika uongozi wa wanafunzi vyuoni,nini kifanyike?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by al-karim, Jun 21, 2011.

 1. a

  al-karim Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa wanafunzi vyuoni 'kupoteza kiaina' fedha iliyokusanywa na wanafunzi ili kukidhi mahitaji yao kwa kipindi waliokuwa vyuoni bila wanafunzi wenyewe kujua imetumikaje,NA statements zikionyesha wazi kabisa kwamba fedha hizo 'zimeliwa kiujanja',je hatua gani zinatakiwa zichukuliwe kisheria?
   
 2. DEPETERO

  DEPETERO JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2016
  Joined: Jul 29, 2016
  Messages: 825
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 180
  Wanafunzi wenyewe jikusanyeni muanze kuwahoji,shida ni kuwa mnawaangalia tu.
   
Loading...