Nitaendelea kupinga kitendo cha TBC1 kinachoendelea kufanywa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitaendelea kupinga kitendo cha TBC1 kinachoendelea kufanywa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jnuswe, Jun 11, 2011.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  The media is too bias to the ruling party, habari kutoka magazetini wanakuwa na magazeti mengi , kuanza kusoma lazima waanze na habari leo then uhuru, aliyesoma habari za vichwa vya magazeti leo ni aibu tupu.

  Unajua unaposoma vichwa vya magazeti ni kuwahabarisha watu wajue yaliyomo katika magazeti ya siku husika sasa inapotokea kupotosha hapo sijui taaluma ya waandishi wa habari ndivyo ilivyo au ni kupotosha maksudi.

  Leo nimemfuatilia kwa karibu mchambuzi wa magazeti , amesoma jinsi mh. mkulo alivyomjibu mh. zitto kuhusiana na suala la posho za vikao, habari iliyokuwa kwenye gazeti la uhuru na habari leo mahudhui yake yalikuwa yanafanana lakini si sawa na ilivyokuwa kwenye gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima.

  Mchambuzi amenisikitisha sana ilipofika zamu ya kuchambua yaliyojiri kwenye gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima akasema ni yaleyale tuliokwisha kusoma katika magazeti yaliyotangulia, this is no fair, you are praying a dirt game, lindeni sana taaluma yenu kuliko ushabiki, mnaogopa kufukuzwa mbona kazi zipo nyingi mahali kwingine?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wala usihangaikee sana hakuna mwananchi wa kuswagwa kama ng'ombe siku hizi, pumba na mchele unafahamika. Naomba nikujuze tu TBC1 wanafanya mambo mengi sana kwa mazoea bila kuweka uwiano wa utoaji habari, ni kama umekuwaa mdomo wa serikali indirect.
   
 3. M

  MPG JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi si TV ya kuangalia ni yawana wa CCM SI TENA TV ya TAIFA kama tunavyojua,watanzania wote waache kuiangalia waangalie ITV.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Washukuru kuwa na mitambo mizuri ambayo hata ukiwa na antenna ya Chadema unaipata vinginevyo watu ingekuwa upatikanaji wake ni shida basi tena ni ingekiuwa haitazamwi kabisa labda mkurungenzi wake, familia ya JK na wafanyakazi basi.
  Ikifa na Original Komedi ndiyo itakuwa janga lingine,
   
 5. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi mpya wa TBC Mshana wakati anashika hatamu za uongozi wa shirika hilo alisema habari zitakazotangazwa na chombo hicho ni zile tu zenye kuimarisha na kudumisha mshikamano wa taifa. Inavyoelekea,kwa tafsiri ya TBC habari za aina hiyo ni zile tu zinazojenga CCM na serikali yake.
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wakati hosni mubarak alipoondolewa madarakani TV za seriakli zilikuwa live zikitangaza ushindi wake dhidi ya waandamaji kwahiyo hawa ni siafu
  wanaangalia njia gani waende nao wanpelekwa huko huko utawala ukibadilika utaona nao kama majua wanacheza ngoma nyingine kwahiyo
  usishangae sana kwani muda wao utakwisha siku moja.
   
 7. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa bahati mbaya TBC 1 hawasomi alama za nyakati, aina ya Watanzania wa leo ni tofauti na wanavyodhani. Itawagharimu kwa kudharauliwa na wao kuonekana ovyo.
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Mimi nilishaacha kuitazama hiyo stesheni. Natazama Mlimani TV na ITV tu
   
 9. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  umeshaambiwa, tafakari. kisha chukua hatua!
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,121
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Tbc ==> Tvt
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Watatetea chama tawala,watafanya kila mbinu ionekana safi mbele za watu,watatumia nguvu za dola,watatumia hela,ila mkweli akisimama hata akiwa mmoja anaweza akasabaratisha kila ngome zao.
   
 13. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pamoja na kuniuma kwamba inaendeshwa kwa kodi yangu, nliacha kuangalia TV hii siku nyingi sana.
   
 14. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi mtumishi wa umma anatakiwa kuwa mshabiki wa chama fulani kazini. Mbona mshana anaonyesha wazi wazi kuwa ni kada wa CCM. Mimi hii sikubali, kama hatabadilika aondolewe TBC, Tido ashike kwa muda mpaka atakapopatikana mzalendo wa kweli. Tunataka kushindana na aljazira soi redio uhuru. Hawa watu sijui wakoje utafikiri hawakwenda shule. unaipendelea CCM kwa nini hasa. aiseeee!:smash:
   
 15. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Hasa joe kihampa, mbaguzi sana utafkiri shetani
   
 16. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ukiangalia TBC1 unaweza vunja kioo cha tv yako kwa hasira, acha usiiangalie, imejaa pumba na uozo kibao wa majalalani.

  Binafsi niliacha kuangalia TBC (TB =kifua kikuu channel 1) muda mrefu, niliacha kusikiliza RTD-redio tanzania mwaka 1992. Niliacha kusoma magazeti ya Uhuru na Mzalendo mwaka 1982. Niliona heri kutopata habari kabisa kuliko kuendelea kudanganywa na kufanywa zezeta. TAFAKARI CHUKUA HATUA
   
 17. notmar

  notmar Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tatizo lenu you just think negatively(pessimists) hamna mbele wala nyuma mnadandia tu vyombo vya habari ambavyo si vyenu km mwanahalisi,jamii forum, itv etc.siku wakiwatema na kurudi ccm mtafanyaje? anzisheni vya kwenu.....slaa tv,mbowe radio,kabwe news etc.mtafurahi eeh..............
   
 18. a

  al-karim Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pessimists while they are being unfair?!national tv should never be biased!think before u write! Au kwajili ni 'yakwenu' ndo maana mnafanya hivo?
   
Loading...