Toleo la kwenye mtandao la Tanzania la Siku ya Jumapili lilikuwepo hewani kwa muda lakini baadaye leo baada ya kuingia la Jumatatu la Jumapili limetoweka. Sasa hivi ukiendana kurudi nyuma kutoka...
Tangu Bwana Mongi atangaze kwamba amelipwa na Bwana Saed Kubenea gharama za ku-host gazeti la MwanaHALISI, hakuna update iliyofanyika mpaka hivi sasa.
Nina ombi kwa Bwana Saed wa Kubenea kwamba...
Baaada ykupata PM kibao toka kwa wanaJF wanaotaka kujua kuhusu Taratibu za kuingia UK nimeona bora niweke wazi kila mtu ajue process inakuwaje
1. I'm in the UK on a 5yr WP and recently got...
Jipatie nakala yako kwenye KLHN News. Tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na DCI Manumba vile vile kuhusu suala la SMS za vitisho. Jipatie nakala yako HAPA. Ukitaka nakala kwenye mailbox yako ya...
Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za:
1. Aina ya matunda mbali mbali
2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu
3. Misimu ya kila aina ya...
Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ubalozi wa home away from home (London) bi Mwana idi hajafuturisha..
Mzee malecelela alikuwa anafuturisha
Shariff halikadhalia
Kibelo naye alikuwa...
well naona Sheikh Mo alikuwa anapewa exclusive tour...wanasema itaunguliwa 9/9/2009
lakini mie naona iko tayari..according to the video
I cant wait for this maana ile misafara ya kwenda Deira...
Wajameni hivi lile tangazo la tcra kuhusu mwisho wa matumizi ya analog radio na kwamba radio zote ziwe za digital system ni lini mwisho wa kutumia hizo analog?
Nakumbuka kusikia TCRA wakitoa...
Wakuu
Sijaonekana jf kwa siku kama 7 hivi.
Niko Kigoma.
Shida hapa ni umeme na cafe inanilazimu nilipe bei tofauti tofauti.
Kama kuna umeme wa Tanesco 1,500/= kama ni Generator 2,000/=...
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake...
Taarifa zimefika punde, ZAIN wameanzisha xtreme SMS kama tiGO! Hii inaonyesha kabisa kupevuka kwa huduma za mawasiliano Tanzania. Hii mitandao nayo ni ya kujadiliwa maana..... kuna mambo kama ya...
Over US $ 530,000 will be worn in a business plan competition known as Believe Begin Become which is organized by Technoserve Tanzania and Universityof Dar es Salaam Entrepreneurship Centre...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies
P. O. Box 35091 Tel: 255-22-2410763, 255-22-2410500- 9, x.2326Cell: 255-754- 475 372
Dar es Salaam...
Natafuta lawyer ambaye anajua vizuri sheria za Tanzania kuhusiana na Intellectual Property (IP) rights, specifically Trademarks, Copyrights, and other related rights.
Any ideas/suggestions?
WAKUU HESHIMA IWE NANYI,
Natafuta Toyota Hiace ambayo itakua katika Good condition,bei tutaelewana tu.Please wakuu mwenye information basi anaweza kunipatia.Thanks in advance
Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri...
Vile vifaa vya kuongea na simu(bluetooth connectivity) kwa madereva vimewasili.
Viko vya aina 4:-
1. Mirror system
2. Steering system
3. Sun visor system
4. Headset system
Ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.