Hey Guys!!
Lots have been said about Disadvantages of Pajero Mitsubish GDI. anyone wishing to sale that kind of a car at 6.5m pm me straight away! Deadline is 21st Dec 2009.
Tcheers guys!! Enjoy...
salam wadau,
natafuta motokaa kwa ajili ya matumizi ya kawaida,kwa bajeti yangu ndogo ya 12M nimefanikiwa kukutana na motokaa hii kwa jina la Mitsubishi Airtrek.kwa wale wataalam wa magari,hii...
Kwa hesima na Ruhusa ya Burn natangaza rasmi tangazo la ndoa yake kama kuna mwenye pingamizi aseme leo au na akae kimya milele alichokiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenaginshe.
HARUSI YA...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
Mada Kuu: Wanataaluma Na Vipaumbele Vya Taifa na Jinsi Wanavyoweza Kuchangia na...
Kuna nyumba ya vyumba sita inauzwa pale Mwananyamala 'B', ipo barabarani na inafaa kwa biashara. Kuifikia nyumba hiyo unaweza kutokea Victoria au Kinondoni. Bei ni shilingi milioni 50, lakini...
Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach.
Kiwanja kina uzio wa ukuta wa...
Habari wakuu habari ya asubuhi hii, kumekucha salama kabisa,
Natafuta rejeta ya AC suzuki escudo Nomade kwani nimepeleka kwa fundi amesema imetoboka sasa inahitajika ingine mwenye nayo au anajua...
Wanajamii,
Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza...
Wananchi wa Tanganyika ninasikitika kuwatangazia kupotea kwa LUKU ya Mzee Makamba.
LUKU hii ndiyo ilikuwa ikimsaidia Mzee kuchuja pumba na mchele, mbivu na mbichi, moto na baridi, majivu na kaa...
Wakuu:
Niko na used laptops ninaouza. Specifications na bei ni kama hivi:
1. Dell Inspiron 1100 (speed=2.4 GHz (intel Celeron); RAM=512 MB; Hard drive memory=40GB)
Bei= 435, 000 TZS
2...
Wakuu,
Kuna biashara nilifanya na AZAM lakini naona wameshindwa kutoa huduma niliyonunua na badala yake nazungushwa tu.
Nataka kuongea na Bakhresa mwenyewe au mtu mwingine mwenye mamlaka na...
Hey wakuuu,
Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General...
The Mission to Seafarers Dar es Salaam Invite Tenders from Eligible Service Providers to bid for Running of Mission to Seafarers Restaurant at Kurasini Dar es Salaam for a period of one (1) year...
MIMI STANLEY MOSES
NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU
CHERU MKOMBO
POPOTE ULIPO TANZANIA
TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE
TABORA GIRLS 2004
HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI?
JAMANI...
Nyumba ya kununua inahitajika haraka kwa ajili ya kununuliwa. Iwe maeneo ya Kijitonyama au eneo la kinondoni. Kiwanja chake kiwe na Hati miliki(Tittle Deed), Bei isizidi 100mil. Na ikiwa kuna...
Salamu WanaJF. Kuna MwanaJF mtarajiwa ambaye amepata uhamisho kutoka mikoani kuja jijini anatafuta Upande/Vyumba Vitatu ama nyumba nzima (kama bei sio maumivu sana!) maeneo ya kuanzia Kimara hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.