Kwa akina mama wanaonyonyesha au wanaotarajia kujifungua tu

Dec 1, 2010
68
0
BATTERY BREAST PUMP FOR SALE.
Huhitaji tena kukamua maziwa kwa mikono ili umuachie housegirl kumnyonyesha mtoto wako. Huhitaji kumnyonyesha mtoto wako kwa maziwa ya ng'ombe eti kwa sababu huwezi kukamua maziwa yako. BATTERY BREAST PUMP ni pump ya kisasa kabisa itakayoweza kunyonya maziwa na kuyaingiza kwenye chupa ambazo utaziacha nyumbani na kumnyonyesha mtoto wako maziwa yako wakati wewe uko kazini. Inakuja na mashine ya kunyonya, mirija yake na chupa yake, user manual, na begi kama inavyoonekana hapa chini. Wasiliana nasi kwenye : pacificamarine@yahoo.com ili tukuletee kutoka Marekani, mpya. Bei yake hautaishindwa hata kidogo.
Wa
!BwZMGnQ!mk~$(KGrHqEOKiMEwO)!PwBfBMIuKiPuu!~~_12.JPG
 

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
ukiyaweka kwenye chupa hayapendezi, acheni watoto wapate motherly love and care wandugu!
 
Dec 1, 2010
68
0
Inakuwaje wakati mama amekwenda kazini tangu 7:30am-4:30pm na usafiri wetu wa Dar au Nairobi ulivyo ulivyo. Tunaziagiza kutoka USA na zinatofautiana kwa bei ya chini kabisa ni $39.00
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom