Crash course in Adobe Dreamweaver CS3, 4 or 5


MwanaHaki

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Messages
2,403
Likes
125
Points
145
MwanaHaki

MwanaHaki

R I P
Joined Oct 17, 2006
2,403 125 145
Jamani, waungwana, nahitaji mtu anipe crash course ya Adobe Dreamweaver CS3, for Windows. Nina foundation knowledge ya mambo ya web development, ila sikuweza kutumia hii application.

Kwa sasa niko Moshi. Je kuna mtu yeyote hapa mwenye ujuzi wa kina kuhusu hii software, anipe crash course ya angalau saa 2? Nitaweza kuendelea mwenyewe, kwa kuwa niko conversant (fully) na MS FrontPage na Apple iWeb.

Asanteni.

Tafadhali nitafute kwa namba 0786-019019, kwa aliye Moshi tu kwa sasa.
 

Forum statistics

Threads 1,237,971
Members 475,809
Posts 29,308,375