Natafuta Kiwanja Cha Kujenga nyumba ya makazi Dodoma na kiwe kimepimwa. Sina uchaguzi na eneo iwe; Makole, Chadulu, Kisasa nk. nk. Sichagui. Mwenyenacho ani PM!