Gari linauzwa

Newvision

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
448
Likes
1
Points
0

Newvision

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
448 1 0
Chinene asante sana kijana kwa taarifa nzuri would you provide more details/clues e.g

Working order good or bad?
Year of manufacture
Engine capacity and type
TRA payments
Seating capacity?
Insured up to when or expired?
Thanks
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,568
Likes
3,654
Points
280

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,568 3,654 280
Gari la kununua mkononi mwa mswahili ni headache tupu kila siku utakua ukishinda kwa mafundi bila tija
 
Joined
Nov 30, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0

Chinene

Member
Joined Nov 30, 2010
17 0 0
Manufactured date 1990
Engine capacity D14
Seat capacity 25 ppl
TRA status no debt (full kulipiwa all mapato)
It is in good condition.
sababu ya kuliuza nimeagiza lipya natafuta hela ya kumkomboa mwenzake.
Ukihitaji utaliona live picha yaweza kukudanganya

Good time all guyz!:frown:
 

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
3,208
Likes
1,012
Points
280

Mlachake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
3,208 1,012 280
Manufactured date 1990
Engine capacity D14
Seat capacity 25 ppl
TRA status no debt (full kulipiwa all mapato)
It is in good condition.
sababu ya kuliuza nimeagiza lipya natafuta hela ya kumkomboa mwenzake.
Ukihitaji utaliona live picha yaweza kukudanganya

Good time all guyz!:frown:
Sema bei mkuu!!
am a serious buyer!
 
Joined
Nov 30, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0

Chinene

Member
Joined Nov 30, 2010
17 0 0
Linaanzia 16 million na kuna maongezi, ukihitaji piga tu simu mkuu maana kila mteja kashanipa offer yake aliyonayo labda yako yaweza nirithisha. simu number nimetoa mwanzoni if you are real serious.
 

Forum statistics

Threads 1,203,561
Members 456,824
Posts 28,118,708