Wa JF nina Mitsubishi pajero io inanisumbua sasa kupata spea zake original.Naomba msaada wenu kwa anaye fahamu pia na fundi wa haya magari,maana nakaribia kuliuza sababu ya ukosefu wa spea.
Mkuu,
Usipate shida na spea, naomba utuletee majina ya spea unazohitaji. Sisis tutakutafutia kwa watengenezaji wa hizo spea na kisha kukuletea mpaka DSM. Tuandikie kwa e-mail binafsi: pacificamarine@yahoo.com huku ukitaja year, model na ikiwezekana part # unayohitaji nasi tutakutafutia.
Ni kazi kweli ku-maintain mitsubishi pajero.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.