Natafuta premicell please msaada8

haya ndugu wewe ndo ungeniambia ni kiasi gani coz me nataka ya kununua.
 
JF members ambao wanaweza kunisaidia maana ninashida sana na hicho kifaa naombeni msaada wenu wadau mlioko Dar tusaidiane jamani huku mwanza nimetafuta mafanikio naona hakuna.
Nawasilisha.
 
Jamani nisaidieni kupata hiyo kitu ntawalipeni jamani....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom