Nyumba ya Kupanga Inahitajika

Ona Sasa

Member
Jul 2, 2009
65
11
Nyumba ya kupanga inahitajika sehemu za Kimara, Ubungo, Survey, Mbezi beach n.k

Kodi isiwe zaidi ya TZS 200,000.00 kwa mwezi

Namna ya malipo : Miezi sita

Maelekezo ya nyumba: kuwe at least na vyumba vitatu vya kulala (na vingine vya muhimu kuikamilisha nyumba) na eneo la kuegesha gari

Kama unajua ilipo,Tuwasiliane kwenye 0713 583 582
 
Kuna nyumba Ipo Kijitonyama kwa Ally Maua, ina vyote ulivyosema plus fence, parking, maji ya kumwaga na ni accessible kutokea barabarani, ila bei ni 280,000 per month na inatakiwa kodi kwa miiezi 6.

Km upo interested piga 0784 999 223
 
Wanajamii,

Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge, Msasani, Kinondoni, Kawe au Kigamboni. Iwe ya vyumba viwili vya kulala, siting room, bafu, choo na Jiko fesi na mahali pa kulaza gari. Gharama isizidi sh. 250,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa mwaka mzima.

Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through my PM
 
Nyumba ya Kupanga Inahitajika
Wanajamii,

Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge
. Iwe na chumba kimoja cha kulala, sitting room, bafu, choo na Jiko. Gharama isizidi sh. 60,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa miezi 6.

Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through here.

chickdee
 
Re: Nyumba ya Kupanga Inahitajika
Nyumba ya Kupanga Inahitajika
Wanajamii,

Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama iwe karibu na makumbusho au sayansi, Sinza iwe karibu na bamaga au chuo cha ustawi wa jamii
. Iwe na chumba kimoja cha kulala, sitting room, bafu, choo na Jiko. Gharama isizidi sh. 60,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa miezi 6.

Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through here.

chickdee
 
Nimefurahi sana kuona hii post.Mimi na tarajia kupanga come March 2011. Ningependa kupata ka nyumba ambayo ina vyumba viwili, sebule, choo ndani,jiko na maji. Rent around 280,000. Ikiwezekana kulipa miezi 6 mwanzoni nitashukuru. Maeneo : Kijitonyama - First choice, Msasani, Kinondoni, Mwenge na Sinza. Iwe karibu na barabara kwasababu sina gari kwa sasa.. na iwe safe.
 
Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge, Msasani, Kinondoni, Iwe ya vyumba viwili vya kulala, siting room, bafu, choo na Jiko fesi na mahali pa kulaza gari. Gharama isizidi sh. 250,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa miezi sita
TEL 0717 650750
 
Back
Top Bottom