My cousin mary mwingira is no more

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
677
441
Dear jamii members

I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today

RIP
 
Dear jamii members

I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today

RIP

R.I.P Mary Mwingira, ila mtoa habari naomba kama unaweza kufafanua zaidi na ikiwezekana tuwekee picha jamani. I knew one Upendo Mwingira, so sijui ni nania wake huyu. So sad.

Alikuwa ni Mkurugenzi mtendaji wa TANGO na mmoja kati ya Roman catholic professionals
 
Oh, very sad! Huyu ni dada yake John Ngahyoma wa BBC. Huyu Mama alizaliwa MARY NGAHYOMA akaolewa na one MWINGIRA. Ni msiba mkubwa, na unatuhusu wengi. Ngoja tupite hapo Upanga kupata taarifa zaidi.
 
Madikizela very sorry for this misfortune. May the Good Lord give you strength and the entire family to endure the demise.
Remain Blessed our dear JF member and colleague.
 
Oh, very sad! Huyu ni dada yake John Ngahyoma wa BBC. Huyu Mama alizaliwa MARY NGAHYOMA akaolewa na one MWINGIRA. Ni msiba mkubwa, na unatuhusu wengi. Ngoja tupite hapo Upanga kupata taarifa zaidi.
Kwa hiyo Ngalimecha naye kafiwa na dada, basi ni msiba wetu sote

Rip, Mary Mwingira.
 
mmmh nahisi hapa nina ndugu zangu wengi sema tu sijui/hatujuani,msiba hauko upanga uko kunduchi kwa Dr Upendo
 
Tunaomba mnaojua shughuli za msiba zitakuwa wapi mtujulishe kwani nimeambiwa utakuwa Kunduchi na sio Upanga pale ambapo wengi tunapafahamu. Ni Kunduchi sehemu gani?
 
msiba ni kunduchi coz ndiko alikokuwa anaugulia mpaka dakika ya mwisho,kunduchi kuna njia inaingia kulia kuna kibao kimeandikwa SEAMIC ,unaingia hiyo njia,mbele kidogo upande wa kushoto kuna open space then inafuata gorofa thats the place am sure ukiingia hiyo njia utaona tu msiba hauna kificho
Tunaomba mnaojua shughuli za msiba zitakuwa wapi mtujulishe kwani nimeambiwa utakuwa Kunduchi na sio Upanga pale ambapo wengi tunapafahamu. Ni Kunduchi sehemu gani?
 
Back
Top Bottom