4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.The Rent is negotiable. The house...
2000 model toyota corolla spacio
98,000km
silver color
1600 CC
options
AC, power steering,power window, custom wheels, radio, CD, tape, air bad, 3 rows seats, very clean inside and outside...
2000 model toyota raum
95,000km odo
white colour
1450CC
options
sports rim, AC, radio, ABS, power steering, power window,
bei 7,000,000/-
contact 0713 744 144 - abdul
Nina laptop ya mac Power book G5 Panther version 1.3.8 ram imeharibika. Ninasema hivyo kwa kuwa computer haitaki kuwaka na in beep mara tatu which means RAM is dead.
Nimejaribu kwenda Elite...
Kwa usafilishaji wa mizigo au kuagiza magari basi ni
kampuni ya al marma clearing and forwording yenye
makao yake makuu dubai, unasaidiwa kupata visa,
unapokelewa air port, na kupelekwa katika...
Kwa wale wanaotaka kuagiza gari kutoka Japan,tuwasiliane, e mail;
myaboyz15@yahoo.com au contact@lucusjapan.com. Nitakusaidia kupata gari nzuri kwenye auctions za Japan.
safirisha mizigo na al-marma clearing & forwarding
kuagiza magari na mizigo mbali mbali kwa usalama
na bei nafuu na uaminifu wa hali ya juu hebu tujaribu
huduma zetu uone, kwa maelezo zaidi fika...
Wandugu.
Nauza hiace minibus ya abiria 16 ambayo ina mkataba na kampuni maarufu kwa malipo ya Shs.1.8 million kwa mwezi.
Bei ni maelewano.Nipigie simu 0784829633 au tuma email: sleyim@gmail.com.
Members!
Kwa heshima na taadhima, na kwa niaba ya familia ya Member maarufu wa jukwaa hili, Geoff, nawatangazia kwamba huyu mwenzetu anaoa 13/02/2010 huko Iringa...(msiniulize shemeji ni wa...
Kiwanja chenye ukubwa wa eka moja kilichopo maeneo ya Njiro mpakani na Kijenge Mwanama kinauzwa kwa bei ya Tshilingi milioni 35/=.Kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia namba 0762560088.
Jamani mimi mwenyewe natafuta nyumba ya kupangisha iwe maeneo ya makumbusho,vyumba viwili au vitatu vya kulala bei kuanzia laki mbili na nusu hadi laki nne,iwe na uzio hata kama ukiwa wa kuchangia...
Heshima zenu wakuu...Nina machine za dell (ultra small form factor) kama 700 hivi naziuza, zina specification nzuri sana kama ifuatavyo:
Duo core 2.2ghz processor speed, RAM 2gb, 320gb(size ya...
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana.
Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.