Vifaa vinahitajika

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
VINAHITAJIKA VIFAA VYA BAJAJ MATAIRI MATATUL VIFUTAVYO
i-foko
ii stelingi nzima (steering complete)

NB vipya vinapatika ila natafuta vya bajaj ilokwisha lakini vyenye hali nzuri kwa mfano
kutoka bajaj zilizogongwa na kuwa kutofaa kurekebisha (right off)

Nitatoa ofa nzuri ila haitalingana na ya dukani

Kwa maelezo zaidi twanga 0713473166

location DSM
 
Acha ubahili bwana, weka vitu vipya ......... Wabongo bwana ndiyo maana wachina wamelundika takataka zao hapo kariakoo.
 
acha ubahili bwana, weka vitu vipya ......... Wabongo bwana ndiyo maana wachina wamelundika takataka zao hapo kariakoo.

vipya ni tofauti na vile halisi ww vipi?
Jiangalie unatumia vingapi vya mchina hata kama vina lebo ya ulaya? Au hujui?
 
Orait...let me rephrase this, weka vitu vyenye ubora hata kama vinatoka china haijalishi (Ubovu ni kwamba vitu vyetu vingi vinavyotoka chini vilivyopo kwa sasa havina ubora kabisa). Mimi kwa upande wangu hata kama natumia vya mchina, natumia vile vyenye ubora unaotakiwa sio zile takataka walizomwaga pale kariakoo.
 
ww kijana,angalia na signature yangu ndo uendelee!! alaaaa!!!
 
LOL kaka nimekusoma, yaani nimecheka sana baada ya kusoma signature yako. Uko juu mno mkuu. Anyway hakuna ugomvi mkuu, isipokuwa huwa ninapenda watu tutumie vitu vyenye ubora. Unajua kama watz tutaacha kutumia takataka za wachina zitakosa soko, hali itakayosababisha ziachwe kuingizwa kiholela. Maana yake muda mrefu baadaye tutaepuka kuwa dampo. Tuanze sasa kama jamii kukataa kuwa dampo la vifaa visivyo na ubora.
 
Nami si mgomvi ila kama una bidhaa niambie,je sina haki ya kuchagua nnachotaka?
Kama hauna wewe toa maoni na tulia kimya kama unavyo nipe dili nikupe mshiko na hata kama una bajaj vijana wanakuzingua hesabu nisukumie mimi! nimetumwa hela mjini hapa to kijijini!
 
Back
Top Bottom