Kazi ya pikipiki ya bodaboda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya pikipiki ya bodaboda

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mama, Dec 15, 2010.

 1. M

  Mama JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  ANATAFUTWA MTU MWENYE UMAKINI ATAKAYEENEDESHA PIKIPIKI YA BODABODA
  UWE NA LESENI YA KIWANGO ANAGALAU CHA KUENDESHA PIKIPIKI.
  UTATAKIWA ULETE TSHS 60,000/= KWA WIKI (NO EXCUSES).
  SERVICE ITAFANYWA NA MWENYE PIKIPIKI.

  KAMA UPO TAYARI Npm.
   
Loading...