Unahitaji huduma ya kutengeneza gari lako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unahitaji huduma ya kutengeneza gari lako?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mtotigite, Nov 11, 2010.

 1. M

  Mtotigite Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Habari wana janvi nimeamua kujiajiri na kuanzisha garage katika kujikwamua kiuchumi kama kijana baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na kampuni ya scania kwa muda mrefu,nimeajiri pia vijana wenzangu kutoka makampuni mbalimbali hasa ya kichina ambayo yanawanyonya sana watanzania wanaofanya kazi kubwa kwa malipo kidogo.Garage yetu inafanya kazi zifuatazo.
  1.General car services hizi ni door to door hata kama uko nyumbani kwako tutatuma mafundi wetu kufanya service ya gari lako hapohapo huhitaji kuja garage,pia unaweza kuja garage.

  2.Kunyoosha magari yaliyopata ajali

  3.Kupaka rangi magari ya muda mrefu ambayo rangi zimechakaa

  4.Kutengeneza mabodi ya magari ya mizigo,kama una trailer inayobeba container na unataka uibadilishe tunafanya kazi hiyo kwa garama nafuu sana na kwa ubora wa hali ya juu

  5.Tunauza spare mbalimbali za magari mpya na used.
  Karibu tukuhudumie garage ipo Mbezi beach karibu na interchick tupigie kwa namba 0713417107 ulizia Limbe.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi natafuta pinion ya diff ya nyuma ya nissan diesel V8 tani 10. Mnayo?
   
 3. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii nafikiri ingekuwa busara mka jiPM
   
 4. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  nimependa huo ubunifu ni mzuri kwa kweli, as long as umetupatia namba yako tutakuja tu
   
 5. M

  Mwenyizalia Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Natafuka car alarm system ambayo ni genuine. how much will it cost?
   
 6. M

  Mtotigite Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  asante kwa maoni yako inatusaidia kuboresha kazi yetu
   
 7. M

  Mtotigite Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  alam original ipo tuna uza laki mbili
   
 8. M

  Mtotigite Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  asante kwa kupata mudawa kusoma advert yetu
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu unadeal na magari madogo na makubwa?
   
 10. M

  Mtotigite Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  tuna shugulika na magari makubwa namadogo
   
 11. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mko wapi? Mkoa?
   
 12. M

  Mtotigite Member

  #12
  Nov 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Tuko Dar es salaam,ukisoma kwenye advert yetu pale juu utaona location.
   
 13. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mnanyoosha kwa nyundo au machine?
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  weka website,kama huna ni PM nikufanyie kazi nzuri ,i will also host it for you,ili wateja wako waweze kukujua vizuri na pia kuweka service diary online,booking etc
   
Loading...