Nauza LCD TVs......

mtubaki

Member
Dec 2, 2010
10
1
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are negotiable,thank you.
 
afu we bana LCD samsung 32 inch ziko kibao laki 8 we unauza 1.5m!! fanya survey kwanza uone wenzio wanauza sh ngapi
 
waswahili tuna kazi kweli,ukitaka kujua lugha za kibiashara na uvumilivu anzia JK-ukitoka hapa unakuwa umebobea.
mtubaki wajibu tu ndg yangu ndio biz.
 
asante kaka/dada......lakini sio kila SAMSUNG 32'' inauzwa laki 8......kuna version tofautitofauti.....nimeona hadi za laki 3 lakini hii ninayouza ni tsh 1.5M
 
afu we bana LCD samsung 32 inch ziko kibao laki 8 we unauza 1.5m!! fanya survey kwanza uone wenzio wanauza sh ngapi

asante kaka/dada....lkn sio kila SAMSUNG 32'' LCD inauzwa laki 8.....kuna hadi za laki 3 kutegemea na QUALITY yake...hii ninayouza ni tsh 1.5M
 
waswahili tuna kazi kweli,ukitaka kujua lugha za kibiashara na uvumilivu anzia JK-ukitoka hapa unakuwa umebobea.
mtubaki wajibu tu ndg yangu ndio biz.

asante kaka....hizi lugha tushazizoea...mnunuzi hatumii lugha hizi.....
 
Mimi natafuta radio ya MKULIMA maana za sasa wapioga siku moja tu tayari kanyaboya. Nataipata wapi (Old is Gold)
 
Guarante unatoa ya muda gani kwa hizo products zako? Isije ikawa za manzese halafu zimegongwa stika made in korea

hizi ni mpya.....zina warranty ya manufacturer ambayo ni ya mwaka mmoja...ilikuwa na optional extended warranty(up to 5yrs) ambayo nilikataa coz nilikuwa nazileta tz kwa order maalum ila hizi mbili zimebaki waliotoa oda wameshindwa kununua.
 
Mimi natafuta radio ya MKULIMA maana za sasa wapioga siku moja tu tayari kanyaboya. Nataipata wapi (Old is Gold)

Hii hapa sema dau lako....naanzia TZS 430,000

old_radio3.jpg
 
pale mlimani city mbona zipo inchi 42 chini ya iyo bei...na ni sumsung?
 
Hiyo ya 42" inazo L.E.Ds kwenye backgroud, kama unasema zinatoka UK na nimpya basi ucheck kwenye manual yake inasemaje.
 
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are negotiable,thank you.
LCD na sio Plasma?
Features...?
Mfumo wa malipo...
garantii...
kwa LG plz!!?:embarrassed:
 
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are negotiable,thank you.
Specs..specs...specs... Weka model number hapa tutafute specs kwenye web kabla ya kufanya uamuzi.
 
Aina za TV ni hizi hapa....
LCD
LED
Plasma
CRT - kazamani (bunduki nyuma)
Hivyo unaponunua hakikisha huambiwi ni aina fulani, ukauziwa aina tofauti kwa kutojua. Kama kuna Mwenye utata juu ya kuzitofautisha aseme tutoe somo kwa faida ya wote....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom