Biogas? Cut your cooking energy expense to zero in 3-4years.

Kwa wanaohitaji biogas kwaajili ya kupikia tuwasiliane @ solutionartz@yahoo.com

Labda mi sijakuelewa ila kwa haraka haraka naona kama tangazo lako halijakamilika!!! Kwani hiyo gesi unaiuza ikiwa kwenye mitungi tayari au wewe unafanya installations za mitambo ya kuzalisha biogas?? Je unafanya hizi kazi zako Dar au hata mikoani? etc

Biashara ni matangazo kwa hiyo mkuu jitahidi kuweka information complete ili walengwa wajijue otherwise utapata e-mails 1000 afu 10 tu ndo ziwe prospective.

All the best....
 
Asante kwa ushauri mzuri.
Gesi hii hupatikana kwa kujenga mtambo wa kuizalishia hapohapo kwa mtumiaji (Home/Farm). Haihitaji usafiri or packaging. It can be done anywere in Tanzania.
Please visit Science and tech forum and read my brief post on the process of biogas production.
 
Back
Top Bottom