M/Benz inauzwa.


Calist

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
130
Likes
0
Points
0

Calist

Senior Member
Joined Dec 17, 2010
130 0 0
Jamani nauza M/Benz chassis # 124 engine 102, cc 2000 ya mwaka 1988 iko katika hali nzuri, bei ni poa, nauza ili ninunue pick up kwa ajiri ya shughuli za shamba. Iko Iringa..
 
Joined
Dec 1, 2010
Messages
68
Likes
0
Points
0
Joined Dec 1, 2010
68 0 0
Mkuu ebu waeleze spea za benz huko uliko. kama huna constant flow of income na pengine hata senti za kupitia mlango wa nyuma, basi usijaribu kukusa benz. inapokuja kwenye spea and maintenance, benz ni mzigo kama ugonjwa wa kansa. tulioko ughaibuni, benz zinatunyanyasa pamoja na sifa kemkem kuwa anaendesha Benz.
 

Calist

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
130
Likes
0
Points
0

Calist

Senior Member
Joined Dec 17, 2010
130 0 0
Hapa bongo spea za kumwaga, ninalo gari la kijapani pia lakini linapokuja swala la maintenence benz ni bora mara mia, kwa ukifunga kipuri unasahau zinabaki service tu za kawaida. In short spare ni nyingi hata bolt ya aina yoyote waipata kwa bei ambayo ni tofauti kidogo na Japanes car.
 

Forum statistics

Threads 1,204,265
Members 457,219
Posts 28,148,576