Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

. Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27 Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kutengenezewa Magazine, logos, brochures,matangazo kwa bei nafuu wasiliana nami kupitia email: ckundawa@gmail.com or cell 0718656164
0 Reactions
0 Replies
995 Views
tsup wana jf? Natafuta laptop yenye full size keyboard na yenye widescreen! Iwe hp,cmpq,tshb au del na yny spec latest as webcam,2ghz prcr,320gb hdd,2gb ram.. Yeyote ambye anaweza kunisaidia...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Napenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27. Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kuingia kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa,nifanyeje??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari hizi ni aina ya Toyota,mbili ni Toyota corona na moja ni Toyota corola E100,Zote ni rangi nyeupe,sports ream,hatu uzi gari moja moja,unashauriwa kuja na fundi wako wakati wa kununua,they are...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Iwe Chumba sebule, Jiko na choo. Bajeti ni Tsh 150000 kwa mwezi malipo ya mwaka mzima yapo tayari. Mwenye nayo aniPM.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, nina noah ya mwaka 2001 na nimeiingiza tz sept 2010, odo inasomeka 142880. Kutokana na ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya petrol nimeshindwa kuimudu. Kuna jamaa kapatikana anataka...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Earn $2000/month via part time jobs. Easy form filling data entry jobs Earn $1500-2500 per month from home. No marketing / No MLM . We are...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Very luxury spacious Villa fixed with Split A/C, ceramic tiles flooring, 4 Bedrooms ( 2 bedrooms with toilets & bathrooms), separate Living and dinning rooms, small garden & car park, available...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nina sony imeua motherbord,nauza kama spea,inakilakitu,model nomber VGN-FJ270 kama vipi piga 0655945598
0 Reactions
0 Replies
884 Views
haya habar njema,ukitaka full movies HD quality 4 free in yo mobil phone jus go to o2cinemas.com,tayar nshadaunlod k2 inaitwa The Source Code
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies,programs n.k,mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu,library yangu ya movies ina...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Kiwanja kikubwa kipo Nyegezi, kina nyumba ya chumba na sebule na jengo jingine dogo pembeni. Kina sehemu ya Parking. Bei Mil. 13 mawasiliano 0767007830
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninauza gari yangu Mitsubishi Canter Truck tipper la Mwaka 2003 liko Zanzibar bei millioni 20 sababu za kuuza nikuwa nahitajia pesa haraka nimetokezewa na matatizo kwa mwenye kutaka au kuliona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nataka kujifunza kijapan, beginners stage, kwa yeyote anayeweza nishauri nianzaje ili niweze kusoma for the shortest time as possible, ntamshukuru sana. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF members Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Kama wewe ni mmoja wa watu wenye kutaka kuona wengine pia wanaishi kwa furaha na amani, basi tafadhari sana Fungua HAPA Kisha chukua Hataua.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom