Wakuu nahitaji gari Suzuki Curry ya kununua. Bei isizidi 6.5m na iwe ktk hali nzuri na rangi iwe nyeupe(white).