Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natarajia kusafiri kwenda ughaibuni kwa miezi 3 hivi, nahitaji insurance kunicover kwa muda huo. Mwenye kujua naomba anisaidie wapi naweza kupata travel insurance.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza compactor mashine 2 zina engine ya HONDA kwa maulzio zaidi piga namba hii 255784280551
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow to members of JF
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Nilikuwa safarini Tabora kwa ajili ya kupiga kura. Ni uchaguzi pekee nilioshiriki tangu mwaka 1995 ambapo kura yangu nilimpigia Mrema pale Ubungo; mwaka huu nimempigia Slaa. Kama ambavyo mwaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF ninahitaji kupata External Hard drive 320GB au 500GB. Mwenye access nayo naomba anijulishe nitaipataje na kwa bei gani. Location yangu kwa sasa ni Dar es salaam.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ninauza kiwanja madale kwa karibu na kwa kawawa kimezungushiwa michongoma ukubwa ni robo heka na kinafikika kiko tambarare bei ni milioni 5.5 na hakuna dalali mimi ndo mmiliki nauza ili nipate ada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine. Mita 500 kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama au kinondoni. Kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173 au 0757818564
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Roller compactor 3000kg (3TONNES) Bomag JCB beaver concrete mixture Lister Peter Plate compactor of different sizes(Honda & Robin) Upright rammer used in uk see attachments for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pikipiki inahitajika Specifications: 150-200cc Bei isizidi 2,000,000/=
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana JF? naomba mwenye kufahamu ni chuo gani au mtu gani naweza kwenda na kujifunza kupiga kinanda? imekuwa interest yangu mda mrefu but sijui wapi ntapata. pia ningefurahi kama utanitajia...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Salamu kwenu wakazi na wafanya biashara wa Mbeya.. Je unasumbuliwa na vifaa vyako ofisini kama vile Computer, photocopier, printer na kadhalika.. Wasiliana nasi sasa kwa huduma zifuataza...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Kama unajua kuna mtu ana RAV4 na anatafuta mteja mimi nipo nataka "kumvua". Tumia PM kuniletea ujumbe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama kuna mdau anahitaji external hard disk,tuwasiliane. 500GB ni Tshs 200,000 1TB ni Tshs 250,000. Brand ni seagate . 3years replacement warrant.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kufahamu nitawapata wapi watu au kampuni inayojihusisha na kuweka nembo pamoja na maandishi kwenye vifungashio (packages) kama viroba na mifuko mingine. Naomba mnifahamishe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
fungua picha na fanya biashara na mwenye namba hapo ktk attachment
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gari hiyo inauzwa, 6.0 Mil. Kwa anayehitaji, ampigie mwenye simu 0784 419030.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa zinazosema kuwa, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Back
Top Bottom