Buriani osiah rajabu wa kimara butcher | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buriani osiah rajabu wa kimara butcher

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pdidy, Mar 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Wapendwa napenda kutoa pole kwa nduguwa ndugu yetu alietutoka majuzi uko india akiwa matibabu
  bw osiah rajabu..ni jiran yangu kijana aliekutana na miale ama mapigo ya dunia akiwa mdogo sana ndan ya miaka 30
  alipatwa na ugonjwa wa figo 5yrs a go wakaanza ndugu ubadilisha mwisho ndugu wakaisha wakaoanza kununuliwa watu kumtolea figo..ni ijumaa tu aliwekewa figo ya kijana mmoja toka tanga kwa bei kadhaa
  jumapili ndugu yetu mauti ikamkuta

  Naomba niwape pole ndugu na marafiki wote kwa wakati huu mgumu wakisubiri maiti toka INDIA inayotarjiwa kufika jumatano ya wiki hii saa nane na QATAR AIRWAYS..pole sana dada wa marehemu Anna alikuwa wa kwanza kumtolea mdogo wake Figo..Mungu ndie mweza yote

  Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe...
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Aaamen!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  poleni sana
   
Loading...