Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara hiyo. Wenye kujua sehemu hiyo kama nilivyoeleza naombeni msaada wenu ikiwa ni pamoja na mchango wa mawazo na ushauri mbalimbali.