Kiwanja/Shamba linauzwa ekari moja Kibaha

Ndamwe

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
203
123
Wana JF wenzangu, Kama kuna muhitaji wa shamba enel la ekari moja liko Kibaha Karibu nakwa Mathias, lina michungwa michache na miti kadhaa ya mitiki. Maji ya bomba kuu hupitia mpakano mwake, liko bara bara ya kwenda kambi ya jeshi ya Nyumbu. Bei maelewano 15ml ono. kama utalipenda waweza kujiandikia email: ndamwe@gmail.com. Nawasilisha.
 
nikitaka nusu heka ntapata? kwa milion 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom