Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Mar 13, 2011 #1 Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh. Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo. Buswelu
Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh. Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo. Buswelu
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Mar 13, 2011 #2 Buswelu said: Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh. Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo. Buswelu Click to expand... Ina elekea unazo sana nifanyie mpango wa 5m nifanye biashara japo nitimize ndoto zangu,soma signature yangu
Buswelu said: Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh. Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo. Buswelu Click to expand... Ina elekea unazo sana nifanyie mpango wa 5m nifanye biashara japo nitimize ndoto zangu,soma signature yangu
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Mar 13, 2011 Thread starter #3 Masika said: Ina elekea unazo sana nifanyie mpango wa 5m nifanye biashara japo nitimize ndoto zangu,soma signature yangu Click to expand... Dunia Hiii...Dah Mkuu Ndio msaada huo?
Masika said: Ina elekea unazo sana nifanyie mpango wa 5m nifanye biashara japo nitimize ndoto zangu,soma signature yangu Click to expand... Dunia Hiii...Dah Mkuu Ndio msaada huo?
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 4,033 Reaction score 3,825 Mar 19, 2011 #4 Utakuwa na bahati sana kama ukiipata kwa bei hiyo. Toyota Kluger L [ tradecarview ]