Msaada kama kuna yeyote anaweza kusaidia.

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Ndg zanga jana nilikwenda Mlimani City nikapaki gari yangu pale na kuacha baadhi ya vitu ndani ya gari kama laptop na hard disk GB 500 ikiwa na mambo muhimu sana kwa bahati mbaya nikaingia ndani NBC kurudi nikakuta wamevunja kioo na kuiba laptop na vingine kama modem ya Zantel, latop ni Toshiba l 555 17'. hapa naanza upya maisha . kama kuna ushauri naweza kupata kutoka kwenu itakuwa heri maana hapa na RB ya polisi ambayo najua kuwa ni kazi sana kupata vitu vyangu hasa baadhi ya document. kwa msaada nitafute kwa 0717020737.

najua kuwa mwaka wa hasara daima mjinga haujui. asanteni
 
pole Zipu....pale huwa ni pabaya sana kuacha vitu vya thamani kwenye gari......kwa kweli kuvipata sidhani kama itakuwa rahisi......ila usikate tamaa ya kuvitafuta
 
Asante preta
 
Jaribu kufuatilia kama wana kamera za cctv. Kama hawana wanashauriwa wawenazo. Wengi wamepata hasara kubwa sana pale. Hapafai kabisa kuacha kitu. Mie juzi nilisahau kufunga mlango, niliuacha wazi kabisa. Nilikuwa na laptops mbili. Jamaa mmoja, msamaria alipaki gari mbele yangu, aliita walinzi na alinisubiri hadi niliporudi. Nilijisikia nimepoteza kila kitu. Pole sana.

Mara nyingi vituvyako vingi muhimu weka (backup), Jitumie kwenye email.
 
Pole sana ndugu yangu. Sina ushauri zaidi ya kukwambia usikate tamaa.
 
Mlimani city ni eneo la maafa mkuu, wapo vibaka wa kukata na shoka na uongozi wa eneo hili umeshindwa kudhibiti hali hiyo.
 
Pole sana ndugu hapa inabidi uandike hasara na uanze moja kununua taratibu..
Sina hakika kama utavipata ..
 
Pole sana mpendwa...
Kwa kweli wewe sio mtu wa kwanza kulalamikia hili
sidhani kama uongozi na walinzi pale hawana taarifa na hii issue
Jamani Tanzania tunaelekea wapi?
Inakatisha tamaa sana
 
Jaribu kufuatilia kama wana kamera za cctv. Kama hawana wanashauriwa wawenazo. Wengi wamepata hasara kubwa sana pale. Hapafai kabisa kuacha kitu. Mie juzi nilisahau kufunga mlango, niliuacha wazi kabisa. Nilikuwa na laptops mbili. Jamaa mmoja, msamaria alipaki gari mbele yangu, aliita walinzi na alinisubiri hadi niliporudi. Nilijisikia nimepoteza kila kitu. Pole sana.

Mara nyingi vituvyako vingi muhimu weka (backup), Jitumie kwenye email.

hukumtoa jamaa hata na kitu kidogo?
 
nunua hidden camera unaiweka kwenye gari. Its so easy..ukitoka ndani ya gari yako unaiwasha na kuiacha , hata kama una getto au kuna jitu una mashaka nacho unaweza kufanya hivi.. Hii ni ushahidi tosha na no kompromaizi coz ipo kama cctv , i hope you know it
 
thank Ivuga nimejifunza nitajitahidi kuwa makini.ushauri wako mzuri
 
Ndg zanga jana nilikwenda Mlimani City nikapaki gari yangu pale na kuacha baadhi ya vitu ndani ya gari kama laptop na hard disk GB 500 ikiwa na mambo muhimu sana kwa bahati mbaya nikaingia ndani NBC kurudi nikakuta wamevunja kioo na kuiba laptop na vingine kama modem ya Zantel, latop ni Toshiba l 555 17'. hapa naanza upya maisha . kama kuna ushauri naweza kupata kutoka kwenu itakuwa heri maana hapa na RB ya polisi ambayo najua kuwa ni kazi sana kupata vitu vyangu hasa baadhi ya document. kwa msaada nitafute kwa 0717020737.

najua kuwa mwaka wa hasara daima mjinga haujui. asanteni

Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.
 
Mkuu ushauri mzuri sana na itakuwa rahisi sana kuvipata hivyo vitu kama mtatumia hii njia.....Jaribu kumsaidia mkuu maana anaweza kupata vitu vyote hata mtakao wakamata kama sio wenyewe watatajana tu.....Napendekeza hii njia....
 
Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.
excellent idea to follow
 
Hivi kwa nini mtu unaacha laptop kwenye gari??? I still dont get this. Kwa nini usiweke hivyo vitu hata kwenye buti ya gari? I may sound absurd, lakini mkuu na wewe umechangia kwa kiasi kikubwa. Hata kama kuna walinzi pale, you must take care of your stuff. Lock away handbags and property from view of potential thieves. Valuables on view are this obvious to thieves. If they see it surely they'll steal it.
 
Jaribio la kupata vitu vyako likae hivi, uandaliwe mtego itakwenda gari ikiwa na bag yenye laptop mbovu, vitu viwekwe waziwazi ndani ya hiyo gari, atendesha mwanamke kuingia nayo m/c awe pekeyake kwenye gari, akishuka aingie ndani ya jengo kuelekea supermarket, asigeukegeuke kuangalia gari ili kuwatoa wasiwasi hawa vibaka, watakapoanza kutekeleza ukibaka wao mtego utakaokuwa umetegwa kwa uangalifu mkubwa utafyatuka na kuwakamata, watapata kibano cha maana hadi wataonyesha walipouza mzigo wetu. 0787999608, nipo tayari kusaidia ku-set trap.

Asante sana kwa ushauri wako mzuri nitakutafuta tufanye hivyo hakika tunaweza kufanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom