Mi nna vifaa vya stationery nilikua na mpango wa kufungua kama wewe!
Paper cutter 70,000
Binding machine(Spiral binding) 90,000
Pasi(Lamination machine) 130,000
Punching machine na machine ya kukatia vitambulisho na business card kama ukihitaji
Photocopier nnazo mbili ila ziko beyond your budget kwasababu ni digital photocopier not less than 880,000 kwa model ya IR 1530 na IR 1310. Hiyo IR1530 ina ADF(Automatic document feeder) na printer imeonganishwa humo humo na scanner ndo inauzwa 880,000 hiyo nyingine 800,000.Vifaa vyote viko kwenye hali nzuri(Vipya) na viko nyumbani kwangu pale Sinza kama unaweza sema unaweza kuja kuchukua hata leo hii