Subaru Forester car for Sale (7mil)

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
290
46
gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia nikiwa nayo hapa Imesajiliwa tiari TZ, Ina mwaka tokea nimeiagiza na kuitumia. Bei ni 7M, let me know if ur interest.

subaru1.jpg

subaru3.jpg

subaru2.jpg
 

Attachments

  • SDC11619.JPG
    SDC11619.JPG
    367.3 KB · Views: 85
  • SDC11618.JPG
    SDC11618.JPG
    360.9 KB · Views: 84
  • SDC11617.JPG
    SDC11617.JPG
    348.2 KB · Views: 85
  • SDC11616.JPG
    SDC11616.JPG
    299.4 KB · Views: 83
  • SDC11614.JPG
    SDC11614.JPG
    416.8 KB · Views: 85
  • SDC11620.JPG
    SDC11620.JPG
    420.8 KB · Views: 78
  • SDC11623.JPG
    SDC11623.JPG
    376.6 KB · Views: 80
  • SDC11762.JPG
    SDC11762.JPG
    440.3 KB · Views: 79
MKuu hiyo bei poa sana ....kwenye show room kama hiyo ni around Milioni 13 hadi 15!!!
 
Duu....Subaru...Bana Nzuri na ina nguvu...Sema sasa Spare zake..sasa..ndio isssue....Mombasa ziko mingi sana...kwa kuwa na wao wanazo mingi...tanzania sasa....
 
Duu....Subaru...Bana Nzuri na ina nguvu...Sema sasa Spare zake..sasa..ndio isssue....Mombasa ziko mingi sana...kwa kuwa na wao wanazo mingi...tanzania sasa....
Mafuta Je umesahau? ila ni moto chini mbaya hakuna GX100 wala nini kwenye speed.
 
ahsante kwa michango yenu kuhusu spear kwasasa zinapatika kila sehemu na zipo nyingi na kuhusu mafuta gari ni cc2.0 na inaenda 8km kama unatumia AC kwa litre na 10km kama utumii AC so sidhani kama izo ndio sababu za msingi napenda kutoa shukrani zangu tena kwa michango yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom