Tangazo: Nyumba ya kupanga inatafutwa area C or D - Dodoma

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Watanzania mlio Dodoma kama una nyumba unapangisha maeneo ya Area C au D dodoma please usichelewe! Sifa za nyumba
1. Kuanzia vyumba vitatu
2. Maji na umeme viwepo
3. fee kati ya laki 2 hadi 3.
4. ikiwa full furniture itakuwa safi zaidi!
Mawasiliano: PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom