Natafuta toyota dcm

Natafuta toyota dcm

Kireka1980

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2008
Posts
302
Reaction score
44
wakuu poleni na majukumu mazito ya kujenga nchi kupitia P.A.Y.E! Mimi ninatafuta DCM isiwe imechoka sana, mwenye nayo anaweza kuni-pm. all the best!
 
Hizi mkuu nenda TDM-MBY border la wajanja pale utapata za kutoka Zambia siku hizi wabongo wanayatoa mengi sana kule Zambia na kuyakokota mpaka Dar yakifika huku likipigwa engine ya canter na kukarabatiwa mbona watu wanarisahau we katege mingo pale.
 
Mimi ninayo.......!
Tuwasiliane......!
Ipo barabarani.....!
 
nimechek online hakuna DCM au zina jina lingine
 
DCM hawatoi tena......just like what others made a grave mistake to make LANDROVER 109, FIAT 682 or TOYOTA STOUT
HAYA NI MAGARI AMBAYO UKIWA NAYO UNA UHAKIKA WA KUWA NAYO ZAIDI YA MIAKA 20.
KUNA MBADALA WAKE WANAITA EICHER hebu tafuta uone....!
 
Hizi mkuu nenda TDM-MBY border la wajanja pale utapata za kutoka Zambia siku hizi wabongo wanayatoa mengi sana kule Zambia na kuyakokota mpaka Dar yakifika huku likipigwa engine ya canter na kukarabatiwa mbona watu wanarisahau we katege mingo pale.

mkuu hivi gharama ya engine ya canter inaweza kuwa tsh ngapi?mimi nna uhakika wa kupata bodi
 
wakuu poleni na majukumu mazito ya kujenga nchi kupitia P.A.Y.E! Mimi ninatafuta DCM isiwe imechoka sana, mwenye nayo anaweza kuni-pm. all the best!

Mimi ninayo lakini Imesimama ipo Ukonga FFU ndani tatizo gea box bei milioni saba
 
hii ya ORIGINAL PASTOR itakuwa ni jibu sahihi kwa anayetafuta akiwa makini....!
7millions ni bei rizonabo...!
 
Kuna DCM inauzwa km bado unaitaji.Iko kwenye hali nzuri sana.
 
Hizi mkuu nenda TDM-MBY border la wajanja pale utapata za kutoka Zambia siku hizi wabongo wanayatoa mengi sana kule Zambia na kuyakokota mpaka Dar yakifika huku likipigwa engine ya canter na kukarabatiwa mbona watu wanarisahau we katege mingo pale.
We mkali, nilipoiona posti hii nilitaka kutoa maelezo yanafanana na yako,

"Mkuu kama una connection na mtu kutoka zambia mwambie akutaftie, kule zipo".period!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom