Wa ndugu habari za Alasiri,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa...
Iwe pembezoni kama si karibu na barabara ya Old Bagamoyo Road basi mita chache kutoka katika barabara hii ( eneo la Mikocheni hadi whitesands, Jangwani Sea Breeze, Beach comber na Berinda) Iwe...
NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA.
ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA.
ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI.
Matumizi...
Inahitajika haraka pesa ipo mkononi tayari. Ikiwa unayo wewe au kuna mtu umemuona au kumsikia anauza nipigia katika simu hii 0717114409/0755312233 au nitumie picha na maelezo katika...
Namtafuta, miongoni mwenu, mtaalam wa Microsoft Excel, atakayeweza kunitengenezea document itakayofanya kazi hii:
Sales Invoice
Invoice inatakiwa kuwa na worksheet mbili.
Worksheet ya kwanza ni...
Did you know there are billions of dollars worth of unclaimed inheritances in the United States? You can search online and Google "unclaimed inheritances"; and you will find that there are...
Jamani mnakaribishwa katika Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayofanyika tarehe 26/09/2010 pale Mlimani City kuanzia saa 8.30 mchana mpaka saa 12.30 jioni. Tiketi zinapatikana Dar es Salaam...
Hallow wadau,naomba mnitafutie nyumba nzuri ya gharama nafuu jijini mwanza kwa ajili ya kupanga na iwe karibu na mjini.Iwe na vyumba viwili ,sebule,jiko na kimoja kiwe na choo na bafu na hata...
Wakubwa jamvini natafuta battery ya laptop. Laptop yenyewe ni hp model compaq 2510p.
Kama kuna yeyote anayeweza kuipata mpya tafadhali tuwasiliane kwa 0784 398 893 kujua bei na namna ya kuipata...
Toyota Corrola New Model 2002 (Nyeupe) inauzwa kwa bei ya Sh 8.5m tu. na Mazungumzo yapo.
Wasiliana na mimi kwa namba: 0713 531152 .
Picha yake nitaipost leo badae.
Nilikuwa naitumia mwenyewe...
Kwa jamii yote ya JF.
Natafuta mtaalamu wa kupima maji chini ya ardhi anayeishi DSM, kwa ajili ya kuchimba kisima kirefu, kama kuna mwanajamii yeyote anafanya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane kwa...
- Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano...
Range rover 99, 4.6 vouge blue, all the extras plus ps2. Head rest screen, all eletrics. Good working order 18 inches wheel, and ac. Please i want to sell it and just want to know how much will i...
Comred auction mart company limited,
P.O.Box 61508,
Dar es Salaam.
Phone no: 2775904
fax: 2775903
Tangazo la mnada wa hadhara, kwa amri tuliyopewa na mahakama kuu ya tanzania idara ya kazi...
Brand New IBM slim DVD-RW zipo kibao kama 150pcs
Price 60,000/Tshs=
zungu.business@gmail.com
Specs.
IBM External USB 2.0 Slim DVD CD R/RW Drives Burner Writer For Laptop
Description...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.